Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

Jomba ww ni fala maana hujawa tayari kumuacha afu unakuja kulia lia uku jamvini
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?

Karibuni
Mwambie mama watoto wako atakupa ushauri mzuri, usiogope!
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?

Karibuni

ID yako ya siku zote ni ipi?
 
ukitaka kumuua nyani usimuangakie machoni, huo ndio ushauri mzuri,

kwa faida ya ndoa na familia yako kwa ujumla ni bora uachane na huo mchepuko hata kama unauona ni mwema kiasi gani, hebu tambua dhamani ya mke wako
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?

Karibuni

Jamani hivi vyuma vimekaza mno, ona sasa mwenzenu kibuti kinamyemelea!
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?

Karibuni
Mtu mwenyewe unajiita mgegedo hata ukimwacha huyu utaendelea kugegeda wengine tu! Majina huumba, ukiitwa shida utakuwa mtu wa shida tu, ukiitwa mgegedo........
 
Kwanza maelezo yako hayaendani na heading . Kumbe hujamchoka bali umeichoka hali ya kuchepuka? Huyo huwezi kumuacha kwa kupewa ushauri humu, ni mpaka uamue mwenyewe uache uchepukaji
 
Mwambie mkeo (mwanzo-mwisho) nakuhakikishia hiyo shughuli haitachukua hata dakika 5 kukamilika.
 
hii tabia nlishaacha,, sasa sina wasiwasi, simu yangu iko huru mda wowote,, naiyacha naenda misele ipo tu na wife anakagua hakuti mauzauza,

siku moja nlimkuta anapga story na shosti wake akinisifia "mme wangu katulia na shosti nina amani kweli siku hizi si umeaona kaisahau simu yake" mwenzie akamjibu "bora yako wewe"

pesa yangu inakaa tuuu,, ile michepuko inanipiga vijembe eti naringa hahahah,,
 
Huyu binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka sasa na tayari anafahamu nina mke na mtoto.Kila nikimtafutia sababu ili nimuache najikuta nashindwa mana kiukweli hajawahi kunikosea kosa ambalo litanifanya nimuache kiurahisi.

Tangu nimeanza nae mahusiano hakuna hata siku moja ambayo mke wangu amegundua kwamba niko kwenye mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.Nahisi namkosea sana mke wangu hivyo nataka niachane na haya mambo ya michepuko nitulie tu na mama watoto wangu.

Nitumie njia gani kumuacha ili asijiskie vibaya ?

Karibuni

We jamaa hamnazo kabisa, nikupe msaada mimi sjaoa na natafuta mchumba namuomba huyo labda atanifaa, tupia picha yake kwenye private meseji, then nipe namba yake. Wallah akishaingia kwangu anakusahau
 
Fanya hivi! Mwambie kweli kwamba ulikosea sana kua naye kwenye uhusiano wakati una familia unayoipenda, piga moyo konde we ni mwanaume, mweleze ukweli wote then mwambie pia utampotezea tu mda wake, achana naye bado hujachelewa.
UKWELI UTAKUWEKA HURU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom