Nimelogwa ninenepe tu?

Punguza pia kiasi cha juice unachokunywa, unaweza kunywa glass moja asubuhi na moja usiku, mchana ongeza unjwaji wa maji, litre mbili za maji kwa siku kama unaweza.
 
nikipunguza nitapata njaa bure nile mawali
 
Tafuta diet ya MziziMkavu aliwah post zamani kidogo. Cjui unakula ndimu na tangawizi ya uvuguvugu asubuhi na mchana ubuyu jioni gym yaan ful madaladala
 
Sikuwa nimefika huko kwako, lakini tangia nimeacha kunywa pombe, na kukata vitu vya sukari, nimepungua sana. Ilikuwa inafika wakati unataka kutoka hakuna nguo inayokupendeza, unaishia kuvaa leggings na top yeyote ile, nikaona haya ni mateso.
 
Ulafu mijanamke minene mipapuchi yao inakua na maji sana sijui kwanini yani haifai kabisa mijasho' minyamanyama yani ful kunuka tu' punguzen miunene hiyo ndomana mtu akiduu mara moja harudi tena.
 
Huna haja ya kuhangaika na mazoezi, omba Sizonje akusomeshe namba utapungua tu. Nilikuambia ujiunge na club yetu ya jogging ukakataa, njoo bana nafasi yako bado hipo.
 
Ushauri wangu! Dowload clips zipo nyingi sana za mazoezi ya kupunguza unene,ukiwa serious ndani ya mwezi lete mrejesho hapa....Mwenzio hapa sasa natamani kunenepa baada kutumia hizo!
 
Ulafu mijanamke minene mipapuchi yao inakua na maji sana sijui kwanini yani haifai kabisa mijasho' minyamanyama yani ful kunuka tu' punguzen miunene hiyo ndomana mtu akiduu mara moja harudi tena.
Hacha matusi kiongozi.
 
Sikuwa nimefika huko kwako, lakini tangia nimeacha kunywa pombe, na kukata vitu vya sukari, nimepungua sana. Ilikuwa inafika wakati unataka kutoka hakuna nguo inayokupendeza, unaishia kuvaa leggings na top yeyote ile, nikaona haya ni mateso.
Kwa hiyo kwa sasa umekuwa kipotabo fulani amazing?
 
Back
Top Bottom