Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,953
- 49,704
Natamani sana kupungua nina kg 94 sipungui toka mwaka jana. Sili msosi mkubwa nakunywa majuice sana natengeneza mwenyewe naweka karoti embe, beetroot tangawizi na parachichi nakula na msosi kidogo au sometimes sili kabisa.
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?
Sielewi kwanini sipungui au vile sina mpenzi wa kunipa majanga?