Nimeliwa hela zangu kijinga kweli leo

Nimeliwa hela zangu kijinga kweli leo

Nikweli kabisa mkuu, fanya uwekezaji mahali ambapo utakapokua huna nguvu,basi kuna mtu mahali fulan atakumbuka "Uncle aliyenisomesha".

Kuchezea ujana nisawa na kuchezea shilingi juu ya tundu la choo.... mambukizi ya HIV kwa sasa ni milioni 2 hao niwaliopimwa.

Kwa mwezi huu pekee washikaji zangu wawili wametest positive , Mambo yameharibika na watu wameisha.

Sasa unapokua mtu wa wanawake ovyoovyo , tena midemu hiii ya kunywesha pombeee tu ikilewa unatombaa, nisawa nakuchezea ujana wako.

Pesa utaipeleka kwa matibabu... kisha mwili dhoofu hautakupa nguvu ya kutafuta pesa.

Hapo waswahili watakuambia "Tulikua tunamuona tu na pesa zake"
Ukwel mchungu chifu.nimenywea kama piriton hapa
 
Ndugu yangu pole sana.
Ilinitokea miaka fulani nikiwa nasaka demu wa kuzugia kisiwani Unguja.
Nikakutana na mabinti warembo watatu Forodhani wapo kwenye kimkeka na keki kubwa ya birthday.
Nilikaa pembeni yao, mmoja akaniomba niwapige picha, mazoea yakaanzia hapo.
Nikaja kugundua ni wanafunzi wa Chuo kikuu Tunguu.
Nikaona niwape ofa ili walau nitanue wigo wa kunizoea ili nimpate mmoja wao.
Nikaanza na juice za miwa glass kubwa tatu (3,000/-)plus chips sahani tatu (4,500) na mishikaki ya kuku miwili kwa kila mmoja (6,000)
Baada ya muda wakasema wana hamu na shawarma-wakati huo ilikuwa 3500 la pack moja (10,500/-). Jumla nilimaliza kama 24,000/-
Kufikia saa tatu usiku kabla sijaomba namba ikaja kirikuu wakaniaga na kuondoka.
Dah, safari ya kutoka Forodhani kwenda Mkunazini nilipokuwa naishi ikawa ndefu sana. Nilihisi kuumia sana moyoni yaani 24,000/- nimeimaliza bila kuambulia chochote.

Baada ya wiki nikiwa Restaurant fulani maeneo ya Malindi pale karibu na benki ya Exim; ghafla nikaitwa Uncle Uncle, kugeuka hivi ni yule binti aliyekuwa na birthday.
Kutokea hapo sikujutia ile 24,000/- maana ilikuwa ndio msingi wa kuniwezesha kula vitu vinono.

Usife moyo baharia, ipo siku utaanza kula faida ila pia hasara inaweza kutokea.

Alamsiki.
willpower packer namalizia salute kwako mkuu.
 
Unapotoka hom kwenda kwny starehe chukua kiasi cha pesa ambacho kikitumika chote hakuna majuto Ila kama unatoka na pesa yote iliyopo ndani , acha tabia hyo subiri kwanza uchumi wako ukue
 
So ni hivi, leo mida flani nikajisogeza mahala flani huku kwetu kwa lengo la ku swim kidogo na kupata ka kinywaji kagumu, actually sija-swim nilikua nawaangalia tu wadada wakiswim.

Basi ikafika mida mazoea na binti mmoja yakawa mazito sana gafla akaongezeka na mwingine wakawa wawili basi unajua watoto wa kike unawakuta na vichupi tuu kwenye maji kama bata huwezi chomoa kwa lolote watalohitaji siwajui hawanijui.

Nikawanunulia chakula, vinywaji, wamemaliza kuswim tukawa pamoja nini story za hapa na pale. Sasa ikawa shida ku choose nani nioneshe interest kwake maana kila mmoja anamvuto wake na kuomba namba imekua tabu namwomba yupi namwacha yupi

Basi mwisho wa siku tumeagana tuu nimeshindwa chukua namba ila promise ni kwamba next weekend watakuepo pale

Now nimekaa sebuleni najikuna tuu huku nikiangalia my fav series workaholics

Msos wa binti mmoja elf16 na vinywaji smirnof ice tatu tatu. Sasa zidisha mara mbili

Enewei

Ishakula kwangu hiyo
Hapo ungenunua mchele ungepata zaidi ya kilo 30 mchele super kabisa sio huu mchele kitumbo, na ungekula mwezi mzima
 
Unafaa kufanya kz Mochwari
Chakula 16K+ Smirnoff 3(15K,1 per 5K) =31
31 ×2 = 62K
So uko hapo na mapu.mbu yako mawili unalilia elfu 62?

Siku nyingine ukiwa huna hela uwe unabaki nyumbani. Hela za starehe uwa hazisikitikiwi
 
Halafu hizi mambo ni tz peke yake , me kuna kipindi nilikua Bujumbura kimatembezi yani watu wa kule ni tofauti na huku kwetu.mfano mkiwa baa mwanaume akikaa kwenye Meza yenu yaan anaclear bill zote hapo hamjuani na anamaliza anaondoka bila hata kuomba sijui namba wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So ni hivi, leo mida flani nikajisogeza mahala flani huku kwetu kwa lengo la ku swim kidogo na kupata ka kinywaji kagumu, actually sija-swim nilikua nawaangalia tu wadada wakiswim.

Basi ikafika mida mazoea na binti mmoja yakawa mazito sana gafla akaongezeka na mwingine wakawa wawili basi unajua watoto wa kike unawakuta na vichupi tuu kwenye maji kama bata huwezi chomoa kwa lolote watalohitaji siwajui hawanijui.

Nikawanunulia chakula, vinywaji, wamemaliza kuswim tukawa pamoja nini story za hapa na pale. Sasa ikawa shida ku choose nani nioneshe interest kwake maana kila mmoja anamvuto wake na kuomba namba imekua tabu namwomba yupi namwacha yupi

Basi mwisho wa siku tumeagana tuu nimeshindwa chukua namba ila promise ni kwamba next weekend watakuepo pale

Now nimekaa sebuleni najikuna tuu huku nikiangalia my fav series workaholics

Msos wa binti mmoja elf16 na vinywaji smirnof ice tatu tatu. Sasa zidisha mara mbili

Enewei

Ishakula kwangu hiyo
Umefanya vzr,umeliwa kidogo
 
Halafu hizi mambo ni tz peke yake , me kuna kipindi nilikua Bujumbura kimatembezi yani watu wa kule ni tofauti na huku kwetu.mfano mkiwa baa mwanaume akikaa kwenye Meza yenu yaan anaclear bill zote hapo hamjuani na anamaliza anaondoka bila hata kuomba sijui namba wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bujumbura si ni sawa uko mkoan hapa Tz..ni watu wa mkoan tuu wale.washamba wa papuch
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom