Namii nmewaza hvyo.ila sasa plan yangu ilikua hata nipate burudan kdogo hata ya hug au kiss...maana shekeli zmetoka bila mafanikiosituation yako naielewa mkuu, ni nadra watu wengi kukuelewa.. sikilizia wknd ijayo, hapo ww unapoint kubwa sana ya kuwala, maana lazims wamestaajabu how come this dude katugharamia na hajashoboka zaid kuchukua namba, they must be feeling you man, na umewaacha wamechanganyikiwa zaidi.
next weeknd watakuepo, ww jichange tu ila this time chukua contacts na alika mmoja geto huo mwaliko hautakataliwa asilani.. ndo ushapata chombo hapo!
Kwel nmeona umuhimu wa kuwekeza mtajiNdugu yangu pole sana.
Ilinitokea miaka fulani nikiwa nasaka demu wa kuzugia kisiwani Unguja.
Nikakutana na mabinti warembo watatu Forodhani wapo kwenye kimkeka na keki kubwa ya birthday.
Nilikaa pembeni yao, mmoja akaniomba niwapige picha, mazoea yakaanzia hapo.
Nikaja kugundua ni wanafunzi wa Chuo kikuu Tunguu.
Nikaona niwape ofa ili walau nitanue wigo wa kunizoea ili nimpate mmoja wao.
Nikaanza na juice za miwa glass kubwa tatu (3,000/-)plus chips sahani tatu (4,500) na mishikaki ya kuku miwili kwa kila mmoja (6,000)
Baada ya muda wakasema wana hamu na shawarma-wakati huo ilikuwa 3500 la pack moja (10,500/-). Jumla nilimaliza kama 24,000/-
Kufikia saa tatu usiku kabla sijaomba namba ikaja kirikuu wakaniaga na kuondoka.
Dah, safari ya kutoka Forodhani kwenda Mkunazini nilipokuwa naishi ikawa ndefu sana. Nilihisi kuumia sana moyoni yaani 24,000/- nimeimaliza bila kuambulia chochote.
Baada ya wiki nikiwa Restaurant fulani maeneo ya Malindi pale karibu na benki ya Exim; ghafla nikaitwa Uncle Uncle, kugeuka hivi ni yule binti aliyekuwa na birthday.
Kutokea hapo sikujutia ile 24,000/- maana ilikuwa ndio msingi wa kuniwezesha kula vitu vinono.
Usife moyo baharia, ipo siku utaanza kula faida ila pia hasara inaweza kutokea.
Alamsiki.
kwakua ishatokea geuza counterattack, make it to be on your advantage!Namii nmewaza hvyo.ila sasa plan yangu ilikua hata nipate burudan kdogo hata ya hug au kiss...maana shekeli zmetoka bila mafanikio
Wawili unashindwa kuchagua mmoja?Mara ya mwisho kumuona daktari wa macho ni lini?
yy pia kaseama 5k kwenue mabano mle!Pale smirnof ni 5000 kiongoz
Aliekwambia nan...nyie si watumiaj hamwez jua..ila sis tunaotoa hela wakat wew umekuja na kipedo chako tuu na lipbam unakula na kunywa na kusepa...ukiwa mwenyew unakunywa soda...huwa tunaumia ila hatusem tuu..sanasana pale unapohudumia na kuambulia 0Chakula 16K+ Smirnoff 3(15K,1 per 5K) =31
31 ×2 = 62K
So uko hapo na mapu.mbu yako mawili unalilia elfu 62?
Siku nyingine ukiwa huna hela uwe unabaki nyumbani. Hela za starehe uwa hazisikitikiwi
Wapo watu watasema hii ni chai yenye viungo vya pilau.Jf Kijiwe cha story za uongo na kweli.
Ndo hvo.62.. lakin kasahau namim ilibid nijiongeze na extra budget ambayo wasingekuepo nisingeingia hyo..maana ilibid niagize john mtembez mdogo yule na misos misos..so kiujumla ni kama 100k hiv kila kitu..yy pia kaseama 5k kwenue mabano mle!