Nimeliwa hela zangu kijinga kweli leo

Nimeliwa hela zangu kijinga kweli leo

Chakula 16K+ Smirnoff 3(15K,1 per 5K) =31
31 ×2 = 62K
So uko hapo na mapu.mbu yako mawili unalilia elfu 62?

Siku nyingine ukiwa huna hela uwe unabaki nyumbani. Hela za starehe uwa hazisikitikiwi
Daah!!! Watu mna maneno...
 
So ni hivi, leo mida flani nikajisogeza mahala flani huku kwetu kwa lengo la ku swim kidogo na kupata ka kinywaji kagumu, actually sija-swim nilikua nawaangalia tu wadada wakiswim.

Basi ikafika mida mazoea na binti mmoja yakawa mazito sana gafla akaongezeka na mwingine wakawa wawili basi unajua watoto wa kike unawakuta na vichupi tuu kwenye maji kama bata huwezi chomoa kwa lolote watalohitaji siwajui hawanijui.

Nikawanunulia chakula, vinywaji, wamemaliza kuswim tukawa pamoja nini story za hapa na pale. Sasa ikawa shida ku choose nani nioneshe interest kwake maana kila mmoja anamvuto wake na kuomba namba imekua tabu namwomba yupi namwacha yupi

Basi mwisho wa siku tumeagana tuu nimeshindwa chukua namba ila promise ni kwamba next weekend watakuepo pale

Now nimekaa sebuleni najikuna tuu huku nikiangalia my fav series workaholics

Msos wa binti mmoja elf16 na vinywaji smirnof ice tatu tatu. Sasa zidisha mara mbili

Enewei

Ishakula kwangu hiyo
Tafuta hela mkuu.
Kujilaumu huko ni kwasababu hauna hela.
Kukaa na mabinti warembo huku unasogeza muda ni moja ya relaxation bomba kabisa.
Na ungeonyesha matumizi yasiyo na mawazo ikiwemo kuwalipia uber niamini wao ndo wangekupigia kukutaarifu kuwa wamefika salama.

Pole sana mkuu.
 
Any way labda kwa vile sina pesa ila kuhudumia watu watatu tuliokutana nao siku hyoo hyoo alaf sijachukua chochote ntapata mawazo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom