Nimeliwa hela zangu kijinga kweli leo

Nimeliwa hela zangu kijinga kweli leo

Umesha wahi kuona wapi Dereva anaendesha magari mawili kwa pamoja?
Chukua namba anza mchakato na mmoja ukimaliza unachkua namba kwa huyo huyo alafu unamalizia Project yako kwa ustadi kabisa kama ulivoliwa hela yako.
Acha tuu mkuu..kwa haraka haraka nmekaanga 100k kiboya tuu
 
Apo wangelika ote kila mtu siku yake, ila ikimbie zinaa upate ufalme wa Mungu
 
Kuna mtu atakuambia pombe na wanawake huleta umasikin.

Nawewe utamjibu ,bwanaeee maisha mafupi ,pesa natafuta.

Namm nakuambia ivi, KULIKO kuliwa pesa na Malaya, kwann usiende kutoa sadaka kwa watoto yatima, kama ninavyofanya mimi? .
Kwahyo wew huhongi chifu...
 
Aliekwambia nan...nyie si watumiaj hamwez jua..ila sis tunaotoa hela wakat wew umekuja na kipedo chako tuu na lipbam unakula na kunywa na kusepa...ukiwa mwenyew unakunywa soda...huwa tunaumia ila hatusem tuu..sanasana pale unapohudumia na kuambulia 0
Whatever it is. Next time kama huna pesa ya kutosha baki nyumbani.

Uwezi kwenda kuhave fun mwenyewe then uanze kusikitikia pesa zilizotumika
 
Kwani hujaelewa nilipoandika 15 (5K per 1.
Anyways, pole sana.

Expect less, prepare more.
Namim mbona hujanihesabia mkuu manake kuongeza class ikabid nile vtu vya bei mbaya kdogo..mbavyo skuwa navyo kwenye plan..yan haraka haraka nmekata kama 100k kiboya
 
Pole sana mkuu,ila naomba usisikitike maana waliko pia wanajuta kwa nini hawkuchukua namba kutoka kwa tupatupa,hivyo ni suala la muda tu utawala tena kwa kujileta wenyewe
 
Kwahyo wew huhongi chifu...
Mzee Baba , namiliki vyanzo kadhaa vya kuniingizia pesa ndogo tu ya nyanya.

Lakin KAMWE, sitokaa kutumia Pesa yangu kwa matumizi ya kuhonga, kumpa mtu aileweee pombe na starehe za aina iyo .

Pesa yangu watakula Watoto yatima na wenye mazingira magumu , lkn sio ale MALAYA.

Kama ni mwanamke, ili aile ni LAZIMA AWE MPENZI WANGU ,nahapa lazima tukubaliane ,mwanamke wako unayempenda nilazima umpe Pesa.

Kwa ufupi, mimi ni bahiri mno linapokuja masuala ya uvujaji wa pesa ktk mambo ya kijinga.

Nikushauri kitu,JIFUNZE KUA NA NIDHAMU SANA KWENYE PESA, PESA INAKAWAIDA YA KUJA NA KUONDOKA. ikiondoka ujajipanga, utajikataa.
 
Mko wachache sana kibongo bongo..nyie ndo mnakujaga kua kina meng..big up bro...namim mwaka huu nampango wa kuanza maisha mapya laa si hvyo uzeen itakua shida
 
Mko wachache sana kibongo bongo..nyie ndo mnakujaga kua kina meng..big up bro...namim mwaka huu nampango wa kuanza maisha mapya laa si hvyo uzeen itakua shida
Nikweli kabisa mkuu, fanya uwekezaji mahali ambapo utakapokua huna nguvu,basi kuna mtu mahali fulan atakumbuka "Uncle aliyenisomesha".

Kuchezea ujana nisawa na kuchezea shilingi juu ya tundu la choo.... mambukizi ya HIV kwa sasa ni milioni 2 hao niwaliopimwa.

Kwa mwezi huu pekee washikaji zangu wawili wametest positive , Mambo yameharibika na watu wameisha.

Sasa unapokua mtu wa wanawake ovyoovyo , tena midemu hiii ya kunywesha pombeee tu ikilewa unatombaa, nisawa nakuchezea ujana wako.

Pesa utaipeleka kwa matibabu... kisha mwili dhoofu hautakupa nguvu ya kutafuta pesa.

Hapo waswahili watakuambia "Tulikua tunamuona tu na pesa zake"
 
Chakula 16K+ Smirnoff 3(15K,1 per 5K) =31
31 ×2 = 62K
So uko hapo na mapu.mbu yako mawili unalilia elfu 62?

Siku nyingine ukiwa huna hela uwe unabaki nyumbani. Hela za starehe uwa hazisikitikiwi

Ndo zenu ‘sleikwini’ na hapo hamtoi hata buku kuchangia bill, ni kubeza tu hata shukrani hakuna.... si unaona jamaa kaachwa mataa.!!
 
situation yako naielewa mkuu, ni nadra watu wengi kukuelewa.. sikilizia wknd ijayo, hapo ww unapoint kubwa sana ya kuwala, maana lazims wamestaajabu how come this dude katugharamia na hajashoboka zaid kuchukua namba, they must be feeling you man, na umewaacha wamechanganyikiwa zaidi.

next weeknd watakuepo, ww jichange tu ila this time chukua contacts na alika mmoja geto huo mwaliko hautakataliwa asilani.. ndo ushapata chombo hapo!
lijendi
 
Aliekwambia nan...nyie si watumiaj hamwez jua..ila sis tunaotoa hela wakat wew umekuja na kipedo chako tuu na lipbam unakula na kunywa na kusepa...ukiwa mwenyew unakunywa soda...huwa tunaumia ila hatusem tuu..sanasana pale unapohudumia na kuambulia 0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom