Nimelikoroga

DEMBA kuwa makini sana na wakurya!

hawa watu hawajui kuongea especially linapokuja suala lenye hasira juu!

sasa kama na wewe una kidomo cha kizaramo, unakatwa lips waahi nakwambia!

kama ni safari, basi safiri hata miezi sita ama hama kabisa!

huyu jamaa kama akithibitisha kuwa wewe unahusika 100%, jilinde maisha yako yote,

wakurya wana visasi vya maisha kumbuka!

utamkimbia leo, mkikutana baada ya miaka 20, anakamilisha adhima yake!
 
Last edited by a moderator:
jipange kuna mkurya anamla mingo baby wako Kaizer

haaa Sista jana tumemnyoosha, hana ujanja wakurya zamani siku hizi wanazidiwa na wamasai na wachagga. Unataka mfano?
 
Last edited by a moderator:
Yani huruma zinatuponzaga wanawake...nilikuwa nakaa na dada yangu(family friend).sasa boyfriend wake alikuwa anapenda kututembelea na sometymz analala hapo kwetu.huyo boyfriend sasa alikuwa kicheche hatarii halafu sisy wangu ndo kakolea balaa.....mmmh shem asianze kunikonyeza konyeza,mara akiwa anarudi kwake ananipa mi hela kisiri siri hlf sister angu analalamika hajapewa hata senti.bwana eeh siku moja shem kafanya manyanga yake ya mikonyezo then akaingia rum kwao,sasa sister alivyotoka tu nikamfanya apromise hatamwambia shem nitakachomwambia(nikamwambia ukweli).weeeeeee alienda kufanya "copy n paste" si nikaitwa....ilikuwa shughuli

Yani sielewagi,umuache mtu hvyo hvyo aje ajionee mwenyewe au umwambie ukweli..!!
 
haaa haaaa SUZANE nimeshindwa kuendelea kulea uovu. ndio vizuri hata kufanya atafanya kistaarabu na sio kumdhalilisha mkewe kiasi hiki.


we noma ndg yng
 
Last edited by a moderator:

mmmh kumbe huwa wanavisasi sana hawa watu? itabidi niwe makini naye sana
 
Wakati mnaongea kesi kimalaya bado kilikuwa ndani au na chenyewe kilikuwa kizee cha baraza. Nakumbuka ulisema kimehamia kabisa.

Ulimwambia Mura kuwa aliyempa taarifa ni kidume 'kinachomfukuzia?" manake hiyo ndoa wote mme na mke wanaonekana wezi tu.

mmh ningesema na hii makitu si nitakuwa natafuta naongeza idadi ya maadui wa kikurya.
 

Umesoma Feedback ya Kikao!!!!!!!!!!
 
kwani mie nagawa jaman. hapo anichalange tu hilo panga kwa kweli

no simaanishi kwamba unafanya demand and supply!

ila besti si unajua tena goodwill!

ujirani mwema, siku moja moja sio mbaya!
 

mi huwa nawaza unaomba ushauri wa nini wkt umesha confess humu na ushampa ushahidi wote kama ni member wa jf..subiri tu ya risasi
 
Last edited by a moderator:
Pole dada yangu DEMBA ... Nakishauri uhudhulie kikao na usimamie msimamo wako wa kuruka kimanga mita mia!! Wale jamaa wakati mwingine wanahasira za ajabuajabu anaweza kukidhuru mbeleni, so kama kodi yako inakaribia kuisha anza kufikiria kuhama!

aruke kimanga kipi na amesharopoka humu. huyo mume hapajui jamii forum? au incidents kama hizi zimeshatokea saana?!?!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…