sijataja chamaUpumbavu huo CCM wanao sn
Nimekusaidia kutajasijataja chama
Siyo stori ya kutunga wakati haujaitaja nchi husika,mwaka ilipotokea wala majina halisi ya wahusika?Kuna video moja ipo katika mtandao ambayo inazungumzia mtu mmoja aliekuwa na madaraka katika nchi 1 iliopo Mbali dunia inayoitwa - JAMAINA
Kiongozi huyo alikuwa nafasi ya uwaziri ya kusimamia watu kazi ambao waliopo kwenye adhabu
Siku 1 vijana walipewa kazi ya kulima shambani kama ni adhabu kwao, ilikuwa ni siku ya Ijumaa.
ilipofika saa 6 mchana wale vijana waliomba kwend msikitini kuabudu.
Yule waziri akawaambia leo hamna kuabudu dhambi zenu nitazibeba mimi , itabidi wale vijana waendelee kulima huku wakiwa na uchungu
Siku ya siku moja yule waziri akafanya kosa kumkosea bosi (Rais) wake akajikuta jela wakakutana na wale vijana waliokuwa aliowazuia kwenda kuabudu lakini waziri hakuwajua
Siku 1 wakati waziri kapewa kazi ngumu na muda ushaisha hajamaliza akawa anasema " adhabu gani hii"
Wale jamaa wakamwambia unakumbuka siku1 ulituzuia tuesende msikitini dhambi zetu utazibeba weye? unakumbuka mtaa wa Janana?
Yule waziri aliweka jembe akalia sana tena sana, alijutia mateso alikuwa anawapa wenziwe na maneno ya dharau kwa wenziwe akawaomba msamaha sana wale vijana kwa aliowambia.
hii story ni true story sio ya kutunga
Nimejifunza kwamba dunia hutakiwi ujione ni yako. Kuna siku ukimiiuza mwenzio na wewe utaumia.
Binaadam ni dynamic, leo chama X kesho utaangua CHAMA Y , Keshokutwa Z au P.
Leo unakazi na cheo, kesho huna kitu unaanza kuyakuta uliyotenda
Unaogopa kutekwa na kikosi kazi cha Afande Faustin Mafwele,mwenzako kakusaida kubeba adhabu yakosijataja chama
Natumai hujanyimwa maji ulipoyaomba maana binadamu sio viumbe wazuri kabisa.Mimi mwenyewe nimemaliza kusoma Uzi wako hapa nimelia nimelia nimeomba maji nikate kwikwi
Hahaha kwa nini unalia mrembo?Mimi mwenyewe nimemaliza kusoma Uzi wako hapa nimelia nimelia nimeomba maji nikate kwikwi
kama wewe hulii? imagine wewe unacheo kikubwa ukawa unawatesa watu vya kutosha. siku ukaingia jela wewe na kumkuta yule ulemtesa mpaka kuzimia ndio mfungwa bosi pale gerezani. unafika na makaki yako ya jela anakwambia leo zamu yako kubeba ndoo ya mavi ukiyamwage. wewe utajisikiaje? huku akikucheka?Ila kuhusu kulia wewe umetufunga kamba😂😂
ipo video si ya kutunga- nchi sikuupa jina halisi , mtu sikumpa jina halisiSiyo stori ya kutunga wakati haujaitaja nchi husika,mwaka ilipotokea wala majina halisi ya wahusika?
si ya kusema. wanagpi wamehama wamehamia upinzani? Binadam ni dynamicKuna watu walio kwenye CCM waliowahi kusema wapinzani hawana Cha kuwafanya.
Hiyo ni fictional story tu.Waeleze watu waache maasi na kuenenda kwa wema basi.Unazungukazunguka kitu gani?ipo video si ya kutunga- nchi sikuupa jina halisi , mtu sikumpa jina halisi
Nilie kisa hadithi ya kusadikika?kama wewe hulii? imagine wewe unacheo kikubwa ukawa unawatesa watu vya kutosha. siku ukaingia jela wewe na kumkuta yule ulemtesa mpaka kuzimia ndio mfungwa bosi pale gerezani. unafika na makaki yako ya jela anakwambia leo zamu yako kubeba ndoo ya mavi ukiyamwage. wewe utajisikiaje? huku akikucheka?
hayakukuta. yakikuta utajuaNilie kisa hadithi ya kusadikika?
Nitachukua funzo kama lipo lakini cha kulia si kweli.
Ila wewe umetudanganya kuhusu kulia.
Kwamba muanzisha sredi ulikuwa na hali hii👇
View attachment 3080290
nifate inbox nikutumie linkhayakukuta. yakikuta utajua