Nimelelewa katika misingi ya kuwa "nice person" ila nimegundua mambo ni tofauti huku uraiani

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,435
5,102
Kuna watu wako standby ku take advantage of your niceness, nilikua naamini watu wanafanya maamuzi in a rational thinking lakini sio

0. Kijana ameoa ila anaona sifa kutembea na wanawake wengine nje, au kijana haoni shida kutembea na wake za watu.

1. Unakaa na kijana wa rika lako anakwambia anagawa ndoa kama njugu, yani haoni shida kumdanganya mdada atamuoa mana wadada wengi wanataka hivyo, kisha akimpata kimapenzi anaenda kumdanganya mwengine, ye haoni shida.

2. Akisikia unatuma tuma hela kqandugu anakwambia hao sio wa maana fanya yako.

3. Kijana mwenzako anakukopa kisha anajifanya amesahau kabisa, uaminifu zero kabisa .

4. Kijana anajihusisha na mambo ya kwenda kwa waganga, pombe kubet.

kuna muda unaona unaishi katika ulimwengu wa pekeako
 
Your level of consciouness is high. Muombe Mungu ubaki au uongeze hiyo kitu, usitamani kushuka chini na kuwa kama hawa wengine walivyo.
Ukimaintain level yako hii ya kupenda utu, haki, na kutenda mema, busara itakuingia, ila ukitamani kuwa kama hawa, utapoteza upako. Vumilia, utaona matunda yake mbeleni. Usishuke kuwa kama wengi
 
Binafsi hata kivuli changu sikiamini nakikagua mara tatu. Siamini kila kitu naikubali tu akili zangu. Zakuambiwa + na zako. By the way wema hufa mapema R.I.P mwana chato
 
Friend, dunia ipo hivo ulivofundishwa na kuaminshwa na wazee wako.

Friend, walimwengu wapo katika makundi tofauti ya imani zao juu ya kusurvive duniani.

Friend, wachache hao uliokutana nao mapema wasikufanye upoteze dira na nguvu ya kuendelea na safari ya kusambaza upendo na imani ya positivity.

Watu wema kama wewe wapo na wao wanatafuta watu kama wewe. Endelea na muombe Mungu utakuna na watu type yako na utaishi maisha unayotamani kuyaishi hapa duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom