Kipipi hilo hata mimi linanishangaza....nisaidieNashangaa mke kupanga bajeti na mtu mwingine na kumwacha mumewe pembeni!!
Sidhani kama Amy atavumilia uuguzaji wangu!!
Shangaa sasa Amyner....sijui lipi jipya hapo? LOL
Hana shida coz ananiamini sanaaaa
Nami namuaminiiii
Pole sasa mdau...... inaelekea si serious sana ndo maana umeweza kurusha uzi. Uko wodi gani nikuje hapo kukuchum?
Halafu, umelazwa na laputopu yako au unatumia simu ya mchina?
Kama ni ujauzito, Mungu akujalie ujifungue salama. Kakizaliwa kadume kaite PAW kakiwa kademu kaite AshaDii.
Sawa eh?:crazy:
Mmmh mmmh.. lakini wanawake tuna tricks. Mi sikuachi peke yako na kipipi..
Kipipi hilo hata mimi linanishangaza....nisaidie
Yan hapa natamani nirudi hm nikakae na Amy tupike wote...halafu mbona Kaizer hawi mwaminifu??Kaizer... wewe ni mume wa mtu na Amy ni mke wa mtu!! Nawakumbusha tu kuwa Erick hana roho ya chuma wapendwa, mnamuumiza mwenzenu!!!
Ndio naenda maana nahisi kupasuka kwa wivu....Nitaongea na Amy, wanawake huwa hatufanyi hivyo! Alafu na we ebu nenda nyumbani, ili mkajumuike wote!! Wewe ndo uwe unasaidiana na mkeo, Kaizer ye za kwake stori tu tena uongee nae wewe mwanaume mwenzake Amy usimuachie saana......wataishia kukonyezana kwa herufi kubwa hao!!! L.O.L
Mmmh mmmh.. lakini wanawake tuna tricks. Mi sikuachi peke yako na kipipi..
Hana shida coz ananiamini sanaaaa
Nami namuaminiiii
Yan hapo umessema neno zuri mumy.....@Ricky.. Dont worry at all dear, Kaizer ntamwacha sitting room akiangalia series.. I'll be in the kitchen!
Hahahaaaa hata hivyo keshatoa warning tayari kuwa ataniuguza mwenyewe lolhahahah.....definition ya mume naijua vizuri sana! We utabaki na mkeo tu, mi nitakuletea matunda! Alafu mi nahisi ukiuguzwa na mwandani wako ndo utapona haraka zaidi.....maana kuna raha yake ati!!
Teh inabidi tuwe na upendo wa agape....Hata mie sitokubali kuachwa na mume wa mtu coz najua hutokosa kunigea kesi....though I never steal husbands!! Just relax dearest....
teh teh teh mi siishi somalia bwana huku niliko mkungu wa ndizi buku jeroHahahahaaaa inawezekana...ila labda umelazwa kwa kukosa nguvu kisa umekosa chakula so ukikipata ndio hapatoshi... Hahahaaaa hadi manesi watashangaa... Ukimaliza kula tu unapona... Teh
kuna damu kubwa na ndogo?umecheki damu kubwa?
Hahahaaaa sawa.....Vipi maendeleo kwa sasa maana tumeshasahau km unaumwa tena coz mgonjwa mwenyewe anaongea utadhani mzima......hata hudeki????? Lolteh teh teh mi siishi somalia bwana huku niliko mkungu wa ndizi buku jero
We waambie madaktari wanaijua......kuna damu kubwa na ndogo?