Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
Pole mkuu!Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......
ahsante mh. SpikaPole mkuu! ALLAH atakufanyia wepesi inshaallah!
Habarini wana jf wenzangu, mwenzenu naumwa na nimelazwa kcmc hospital toka juzi sa 5 usiku, NAOMBENI MNIOMBEE DUA KWA MWENYEZ MUNGU NIPONE MAPEMA nirudi kwenye mapambano ya kulikomboa taifa. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Jf, Mungu ibariki .......
thanks a lotGet well soon!
ahsante Msafiri, ninazingatia kila daktari analonieleza naimani pamoja na dua zenu nitaponaPole sana,zingatia dawa na sindano tu kutokana na maagizo ya daktari utapona.
ahsanteUgua pole .
ahsante sanaQUICK RECOVERY member!
asante sana ndugu mzalendo, my sister flora yupo anaendelea vyema na Mungu akipenda atajifungua muda wowote, tumwombee ajifungue salamaPole sana ndugu Mungu wetu ni mponyaji atakuponya!ila kuna ndugu yako nadhani alituambia anakuja kujifungua kapotelea wapi zamani kidogo,ni flora msoffe kama sijakosea jina la kwanza,