tonii herrera
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 416
- 281
Ka ingelikuwa miye ningesema; Kama mbwayi ni mbwayi. Kwa kuwa kamzidi hata huyo mkeo kwa kila kitu, basi ngoja dingi aje, andaa katafrija kidogo home kwako, mkaribishe dingi na mamako/mkewenu mdogo, mkeo aandae meza, mnyweshe wine, na dingi anywe makali sana, mfurahi halaf akiwa chakari mlaze na mkeo kitandani kwako wote wakiwa uchi, na weye na huyo mpya wenu na dingi mlale hapo chini chumbani uchiiii. Dingi akiamka na mkeo akiamka na cheupe naye akiamka, hakutakuwa na aibu tena, mnajulishana tu kuwa wote jamii moja tu hakuna jambo baya.
Tangu hapo dingi tayari atakuwa bro, wife atakuwa friend wa dingi. Mbaaafuuuu, alalaye na mke wa babaye, amelaaniwa kabisa.
One step ahead to...
Wakuu ,
Nimekamatwa katikati ya penzi zito la mchepuko wa dingi yangu, Ipo hivi mimi nimeoa kwa miaka miwili sasa naishi Mwanza
Nilipofika akatoa pombe kali akanipa yeye akawa anakunywa Dompo sikuwahi kunywa pombe kabla. Muda ulivyozidi kwenda tukaanza michezo ya kilevi, mara kuvutana na kadhalika kuja kustuka tupo dunia nyingine.
Help please
Ivi mnatumia kinga Au ndio Au? Mmegeuka samaki mwalana wenyewe Kwa wenyewe...
Mkuu "continuity" imegoma hapo kwenye bolded red!!!! Kaandike upya hiyo script halafu uilete tuifanyie editing.....
Pombe Kali.....
Sikuwahi kunywa pombe kabla.......
Muda ulivyozidi kwenda.......
michezo ya kilevi..........