sijui biblia inasemaje katika hili...lakini najua kuwa alalae na baba yako ni mama yako pia!
...Bro, kwa maelezo haya tarajia laana juu yako na kizazi chako chote!
Du...mimi tena au mleta mada!
Na mkewe vilevile,,Umemsaliti Baba Yako,mama Yako na Mungu wako pia .Jehanamu inakuhusu bwaa shehe
ww wapi kakuambia yy ni sheikh.Huyo kwa mujibu wa maelezo yake ni ASKOFU au PADRE km unalengo la kuoanisha!!!!!!!
Hadithi hii kakufundisha nani
ww wapi kakuambia yy ni sheikh.Huyo kwa mujibu wa maelezo yake ni ASKOFU au PADRE km unalengo la kuoanisha!!!!!!!