Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

Kama hii hekaya ni ya kweli basi wewe na baba yako wote ukoo wa kambale...

Huwezi kujua yupi ndio yupi maana wote mna misharubu kama antena za konokono...
 
Karma is a bitch......ukiingia deep unaweza kuta we unaendeleza alicho fanya baba yako kwa baba yake yaani babu yako, na si ajabu mwanao nae atakuja fanya hivyo hivyo kwako. Mnatengeneza kizazi cha wala mama zao.

....hahahaha waiter ongeza bia kuna ubuyu wa viungo huku.
 
we umeshindwa, baba kashindwa, mama kashindwa, mkeo kashindwa, Mungu hakutaki tena, Shetani naye anakuona siyo, lahaulaaaaaaaa sisi tuseme nini juu yako sheikh, labda uendelee tu mpaka utakapoweza mwenyewe, yani upo mwenyewe kwa sasa
 
Chai hizi...hii sijui imetiwa iliki

Anyway

Ukitaka kuacha msemelee mchepuko kwa maza
 
bileku mpasi

we na dingi yako mwende angaza hahaha maana huyu bint anaelekea anapigwa miti hovhohovyo pole sana.na umuombe mkeo msamaha na ukute unamtoto ananyonya naye unamuua kwakwel.

ndo maana mwenzenu nimeamua kuwaacha wanaume unajituliza home jianaume linakuletea ukimwi jamani anazurura huko wee halaf MWisho anaanza kuhara na we mae ndo wa kumbadilisha nepi shetan kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hakika wewe na mzee wako mmeshikika haswaaa, mzee anarudi once per week wewe unakoelekea utarudi once per month.
 
Post yako ya kwanza humu jf kuwa umekula mchepuko wa dinig na hadi kabaaaang umepewa...najaribu kufikiria utakofikisha post yako ya kumi itakuwa ni ipi..labda kuliwa kabaaang
 
Kwa hizo sifa ulizompa huyo Mchepuko wenu (wewe na baba yako) usisingizie pombe
 
according 2 bible jah wil punish u coz she is ua mam 2! and go 2 ua dad and explain enything whithout hinding he wil 4giv u. that iz bext way
 
Kaka inaelekea una vitu atare mana mpaka ataki muachane
We endelea kupiga tu aina noma wala nn kwanz uo mchpuko tu sio mama ako
So usiogp kaaka we mega kisela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom