Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

we na baka ako akil nimoja ushaur endeleen tuu mkifumaniana ktk mchepuko mtayamaliza wenyewe maan imeishakuw laan.na laana hyo ishawah kutokea kwenye ukoo wenu so nyie mnaendeleza tuu pia hata vizaz vyenu vitalaanika km nyie
 
Kama ni kweli au just story. Hii imewai tokea Ktk jamaa zetu wa Karibu.nyumba ndogo ya Mzee ikazimiwa na first born yake Dogo akapagawa kikwelikweli mpaka akaitolea mahari.mwishoe alianza kufa mdingi na HIV.then mjukuu,mtoto wa kiume na lastly mwanamke.
Yes yule binti alikuwa Fundi hasa kwa bed.na ata kwa umbo na alijazia asa..
Hapa kwetu kuna mdingi kazaa na binti Ake,ni bint ambae kila rijali amwonapo lazima ageuke,huyu Mzee mpaka kazini( serikali) alipunguzwa cheo baada ya mie wake kulalama juu ya hili.binti akilewa ata Leo anajitapa kuwa baba ni mtamu Sana kwa bedi( hii ni Dar)
Je ni matamanio au shetani? Huu ni udhaifu wa kibinadamu.ni Nguvu za Mungu pekee zinahitajika kukuokoa na haya mambo.kama hayakukuta it is so easy but unapokuwa kwenye uwanja wa mapambano.you will know how difficult. Just pray and be faithfully to your God.Usifiki Samson kutoa Ramani ya vita kwa Delilha was easy.Sio kazi raisi ni Mungu tu Anasaidia
 
bora iendeleee kula hadi dingi atakapostukia ili imuume amrudie mamaako (mke wake halali) huyo mwanamke ni pepo..


BTW nahisi hii ni fiction...
 
Ivi mnatumia kinga Au ndio Au? Mmegeuka samaki mwalana wenyewe Kwa wenyewe...
 
2wakorintho 5:1-3
1.Yakini habari imeenea ya kuwa kuna zinaa na zinaa ya namna isiyokuwako hata ktk mataifa kwamba mtu awe na mke wa babaye
3.kwa maana kweli nisipokuwapo kwa mwili lakini nikiwapo kwa roho mimi mwenyewe nimekwisha kumhukumu yeye aliyetenda jambo hilo kana kwamba nikiwapo
 
Ka ingelikuwa miye ningesema; Kama mbwayi ni mbwayi. Kwa kuwa kamzidi hata huyo mkeo kwa kila kitu, basi ngoja dingi aje, andaa katafrija kidogo home kwako, mkaribishe dingi na mamako/mkewenu mdogo, mkeo aandae meza, mnyweshe wine, na dingi anywe makali sana, mfurahi halaf akiwa chakari mlaze na mkeo kitandani kwako wote wakiwa uchi, na weye na huyo mpya wenu na dingi mlale hapo chini chumbani uchiiii. Dingi akiamka na mkeo akiamka na cheupe naye akiamka, hakutakuwa na aibu tena, mnajulishana tu kuwa wote jamii moja tu hakuna jambo baya.
Tangu hapo dingi tayari atakuwa bro, wife atakuwa friend wa dingi. Mbaaafuuuu, alalaye na mke wa babaye, amelaaniwa kabisa.

ha ha ha ha ha ......ee Mungu tuhurumie kama ushauri wenyewe ndo uu.
 
Natamani mkeo asome uzi huu aunganishe dots. Pia wewe kweli haumjali mama yako.

Watoto wa kiume noma sana ikija kwa michepuko ya wazeee ngoja aje ataifishe mali zote mama yako aamie kwako ndio utajua.
 
Hizo ndio zile mzee anaua mtoto sababu ya mchepuko.

Au anakuua wewe ili mzee akose mtoto wa kiume kumpa mali.

Kama hautumii mipira jua unasaidia kuleta mtoto wako aka mdogo wako ndio utajuta ulichofanya akikugeuka.

Mtakapo dai DNA nayo utaona kumekucha.
 
Wakuu ,

Nimekamatwa katikati ya penzi zito la mchepuko wa dingi yangu, Ipo hivi mimi nimeoa kwa miaka miwili sasa naishi Mwanza

Nilipofika akatoa pombe kali akanipa yeye akawa anakunywa Dompo sikuwahi kunywa pombe kabla. Muda ulivyozidi kwenda tukaanza michezo ya kilevi, mara kuvutana na kadhalika kuja kustuka tupo dunia nyingine.

Help please

Mkuu "continuity" imegoma hapo kwenye bolded red!!!! Kaandike upya hiyo script halafu uilete tuifanyie editing.....

Pombe Kali.....
Sikuwahi kunywa pombe kabla.......
Muda ulivyozidi kwenda.......
michezo ya kilevi..........
 
Duniani kuna mambo! Ndio maana Biblia ikasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Dogo kawa kama amerukwa na akili.

Bileku, nenda ukafanyiwe maombi maalumu, vinginevyo utakufa mapema kwa huo upumbavu, yaani unalala na kimada wa babako huku ukijua kabisa!

Vv
 
Mkuu "continuity" imegoma hapo kwenye bolded red!!!! Kaandike upya hiyo script halafu uilete tuifanyie editing.....

Pombe Kali.....
Sikuwahi kunywa pombe kabla.......
Muda ulivyozidi kwenda.......
michezo ya kilevi..........

good note mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom