Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

Teh teh teh, mamako mdogo umemfumua malinda? Endelea tu wafu wanazika wafu wao deile
 
@}bileku mpasi

dah pole sana pombe maana inaonekana wewe ndo umechangia dhambi izo. Na pia hongera sana shetan kutosingiziwa kwa hili.
 
Miss chagga siku hizi umekuwa sio mshauri tena unaongea blah blah tu. Zamani tulikutegemea sana hapa kwa ushauri siku hizi..... mweee
 
mshirikishe mkeo,mweleze kwanini umebadilika nowdayz..,pia sikumoja fuatana na mkeo akajifunzie kupitia ma'mdogo wako namna ya kukucare
 
Ewe shetani acha wana wa mungu waishi salama, acha kudhulimu nafsi na akili zao katika jina la Yesu Wanazareti AMEN. Yaani mchango huu ndio mungu kanipa.
 
Kumbe mtu ukila kabaaang unalia km mtoto?!! Pole kaka,usiende tu kwa mama mdogo km vip
 
endelea kufurahia ujinga wa baba ako na kumsapoti we kuna tuuu na hayo marinda yafumue hasaaaa. ukifumwa na baba ako ndo utaacha kwa sasa endelea.
 
Ka ingelikuwa miye ningesema; Kama mbwayi ni mbwayi. Kwa kuwa kamzidi hata huyo mkeo kwa kila kitu, basi ngoja dingi aje, andaa katafrija kidogo home kwako, mkaribishe dingi na mamako/mkewenu mdogo, mkeo aandae meza, mnyweshe wine, na dingi anywe makali sana, mfurahi halaf akiwa chakari mlaze na mkeo kitandani kwako wote wakiwa uchi, na weye na huyo mpya wenu na dingi mlale hapo chini chumbani uchiiii. Dingi akiamka na mkeo akiamka na cheupe naye akiamka, hakutakuwa na aibu tena, mnajulishana tu kuwa wote jamii moja tu hakuna jambo baya.
Tangu hapo dingi tayari atakuwa bro, wife atakuwa friend wa dingi. Mbaaafuuuu, alalaye na mke wa babaye, amelaaniwa kabisa.
 
Maji yameshamwagika tena. Hamna haja ya kurudi nyuma,we songa mbele kwa kumpelekea moto
 
na ukute ushampa na kamimba......msubiri baba ako arudi utamwelezea hali halisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom