Nimekwisha na UKIMWI

Naandika huku hali yangu ya akili ikiwa mbaya sana, mchumba wangu niliyeishi nae kwa miaka mi 3 amejifungua jana kwa upasuaji, na mwezi November mwaka huu ilikuwa tufunge ndoa.

Mkuu, usikate tamaa,
1. Uwe unakula balance diet kila siku. Ni kitu muhimu sana.
2. Punguza stress, wote tutakufa siku moja. Lakini concentrate on your job, family, friends, your religion, your spirituality, charity works. Things which make you busy and at the same time make you feel good.
3. Take Medication.
4. Have fun, make your life enjoyable.
5. Don't worry too much about death bro, wengi tunaosoma hii message yako tutakuwa tumekufa baada ya miaka 20, 30, 40 50.
6. Tafuta watu walioipitia hili tatizo uwe unaongeanao. Wale amabo wameishi muda mrefu na HIV. Waulize maoni yao.
7. Muhimu sana, ujue kumbe it is not your fault. Mke wako anasema akujua hawa HIV, lakini it doesn't matter make sure you live the best life you can.

Kama kila siku uwe unakula balance diet, take medication. Unaweza kuishi maisha makubwa kuliko watu wasio na ukimwi. Yani angalaia chakula unachokula kina kusaidia kupigana na HIV, sasa hivi hauna ukimwi unaweza kuwa na HIV. Sasa make sure HIV aiwi kuwa Ukwimi
 

Nimependa namna ulivyopata nguvu baada ya kufarijiwa, huwa inatia moyo sana kumuona mtu anafarijiwa na kweli anafarijika.

Kama ukipimwa na kukutwa nao, usikate tamaa. Utashauriwa vizuri na ukiambiwa dozi ukatumia vizuri kwa kufuata ushauri, afya yako itaimarika zaidi.

Watu wengi ni waathirika japo hawajijui, mfano wewe hukujua kama mchumba wako ni muathirika mpaka alivyokwambia. Hii inamaanisha, hata ukikutwa nao dont give up...kwa sababu asingekwambia leo ungeendelea na maisha bila kujua. So life must go despite of HIV status.

Pia nakushauri umwamini na kumtegemea Mungu, ambaye ni mwingi wa rehema, anayeponya...asiyeshindwa kitu chochote...na kubwa zaidi anakupenda mno...na huwa hafurahishwi na kifo cha mwenye dhambi!
 
huyo ni mke anakupenda mungu si jpm unaweza ishi hata sisi tutakao changia tukafa kwa vyengine.kuwa na amani
 
Mbona kuna raia umu alishasema ukimwi n ugonjwa wa kusadikika tu wala haupo, sasa mtoa uzi unaogopa nin labda??
 
Ila lubede nikuchane tu, kwa kipind cha miaka mitatu alafu uyo demu alizaliwa nao, aisee apo hautoboi yan unachokifanya kwenda kuprov kama ngoma unayo
Yan ukiluka iko kiunzi cha ngoma, bas ww utakua shujaa wa kipekee kuwai kutokea

[HASHTAG]#ferouz[/HASHTAG] ft prof j ukimwi
[HASHTAG]#kosa[/HASHTAG] la marehem hakuvaa condom

Rest in peace(sio ya kufa)
 
mkuu nilitoka mzima kabisa,salama salmini...hauwezi kuamini lkn ukweli ndio huo,kazi kwako sasa,ushawahi kupima?
 
Maisha yamerahisishwa sana siku hizi!...labda uniambie hii ni story au ni jambo lililokupata miaka au miezi ya nyuma!

Ila kama umeipata habari hii wiki hii na ukawa na nguvu ya kuandika namnahi hii, basi unahitaji KONGOLE kubwa sana!

Nawaza ningekuwa mimi sijui ningepata wapi si hamu ya kuandika tu bali pia kuingia humu!

UKIMWI upo. Ni ugonjwa wa "kawaida" kwa sasa. Kapime. Ukikuta unao maisha yaendelee maana yaonekana UKIMWI HUO HAUNA MADHALA KWAKO kama umeishi nao miaka mitatu bila kujionesha wazi wazi basi usiuogope bora uogope Malaria!
 
Pole sana kaka,Mungu akujalie wepesi katika hili na hakuepushe na nalo ili uishi kwa AMANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…