Nimekuwa katili sana!

Nimekuwa katili sana!

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,533
Reaction score
14,895
hiki kisa nimekikuta huko mjini twitter
20230708_123246.jpg
 
Duh huo ni ukatili wa kiwango cha lami, bora ungeachana nae maana hata siku utapomwambia mtaachana tu.
Ila ukifikiria sana ni kama ngoma droo japo katoto ka watu hakana hatia kameshapoteza wazazi wake wote.
Midemu sijui inawashwaga na nini manina zao hao madevil ndio chanzo kikuu cha watoto wasio na hatia kuteseka hapa dunia masheitwain wakubwa
 
Angebadilisha ila angemmark yule mtoto for future use
 
Duh huo ni ukatili wa kiwango cha lami, bora ungeachana nae maana hata siku utapomwambia mtaachana tu.
Ila ukifikiria sana ni kama ngoma droo japo katoto ka watu hakana hatia kameshapoteza wazazi wake wote.
Midemu sijui inawashwaga na nini manina zao hao madevil ndio chanzo kikuu cha watoto wasio na hatia kuteseka hapa dunia masheitwain wakubwa
Afu kitu ambacho huwa nashangaa zaidi yaan hata huwa hawajutii huwa wanaona ni jambo la kawaida tu Tena unakuta mwingine anasimulia kabisa kwa wenzie au sisi ndo hatujui tu ila wao limeshakuwa jambo la kawaida limeanza kitambo
 
Huyo ndio mwanaume sasa... Big Up
Napenda watu wanaojua kufanya ukatili
 
Namuonea huruma mzazi wa upande wa pili aliyebadilishiwa mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom