Nimekuwa admitted vyuo vinne niende wapi?

Nimekuwa admitted vyuo vinne niende wapi?

ukienda MUCE lazima utakuja juta

si lazma ukubali nachosema lakin ukienda utaona
 
Nenda muce ndg, pale kwanza pako shwari hata mazingira yake, and kwa upande wa hiyo course pia ni nzuri sana,
Jiandae kukutana na kina dr.kita
Dr.mbepera
Dr.mulungu

Na wengineo.
Kila la kheri ktk BSc.ed
asante kwa ushauri
 
Sijajua tatizo ni nini? Ila mbona huo ufaulu ni mkubwa sana!

Au hayo matokeo sio ya Mwaka uliopita? Au au?!??!?! I don know.

Siku nyingine kuna Kozi nzuri za huo Ufaulu kama Pharmacy, Medical Laboratory, Nursing, Medicine, Dental

Na vyuo vipo UDOM,MUHAS,BUGANDO,Sain John, Moshi kule,
 
Radiography
 
Nenda UDOM,omba ubadili kozi kama hautajali. Sasa hii serikali yote ipo Udom ,nenda katafute connections,huku mtaani connections zina mata mno.
 
Nijuavyo mimi deadline ya kuconfirm na kuwa considered kupata mkopo ilikuwa kwenye 1st round tarehe 10 October sina uhakika kama kuconfirm sasa hivi utapata mkopo
Ningekushauri uende chuo pendwa UD kuna faida nyingi kule i.e. MUCE
Sio kweli kwamba mkopo wanapewa wale wa first round,
Bali awamu kadhaa zitatoka kutegemea na awamu za wanafunzi baada ya kudahiliwa na vyuo.
 
waulize wanaosoma hapo watakuambia nina ndugu zangu wanasoma hapo
 
Back
Top Bottom