General Stalin
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 652
- 501
Nenda MUCE I hope ipo iringa ni branch UDSM
Hivyo vyuo vingine vilivyobaki ni vya hovyo hovyo! 🙄kwa nn? udom
Mkuu si kwa povu ili nimecheka mno kwa kweli imechosha vijana na wazaziHuu ndo upumbavu wa serikali ya awamu hii,
Kuna umuhimu gani kuondoa mfumo ulipita na kuleta huu wa kijinga?
Ona sasa kuna watu wamekosa vyuo na wana sifa stahiki,
Hapa mkuu ka-hold position za watu watatu zaidi
Na kuna watu wengi tu kama yeye wana position zaidi ya moja
Haya mwisho wa siku unatokea mkanganyiko na mambo hayaendo watu wanabaki home vyuo vinakosa nafasi
Huu ni Uzwazwa
Nimetafuta sana,sioni chuo hapo,kuna whatever university.Niende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with education>st John 4.bachelor of education in science>Mwenge wadau wananiambie et special needs ni nzuri ila Nina wasiwasi kkuhusu mkopo kwasababu hiyo kozi ni non priority! ila zote mm nazipenda! niende wapi jamani na kuhusu changamoto za ajira.
Omba upya bado hujapata chuoNiende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with education>st John 4.bachelor of education in science>Mwenge wadau wananiambie et special needs ni nzuri ila Nina wasiwasi kkuhusu mkopo kwasababu hiyo kozi ni non priority! ila zote mm nazipenda! niende wapi jamani na kuhusu changamoto za ajira.
Ha ha ha ha ha ha ha you made my dayKama unasoma kwa kutegemea ajira bora urudi tu nyumban. Ila kama utabadilika basi nenda MUCE..
Mkuu hata wenye ONE tumekiona cha Moto ....ushindani mkubwa mno....Sio kila PCB anaweza kwenda MD
Umesoma qualifications za saizi?
Unajua kuna PCB wangapi wanataka hiyo MD?
Unajua capacity iliyokuwepo?
Kiufupi course capacity ilishushwa sana hivyo competition ikawa kubwa, yaani kama huna ONE ukaomba MD ingekula kwako kwa sababu science wengi wanalazimishwa kusoma education hasa ya kemia.
Ukiangalia waliokosa admission first round asilimia kubwa ni science ambao hawakuomba education, yaani waliomba afya and the like.
Mkuu huu kama sio ujinga ni nini haya huyu hapa amepata vyuo zaidi ya kimoja bora hata ingekuwa viwili vinne?Mkuu si kwa povu ili nimecheka mno kwa kweli imechosha vijana na wazazi
hahaha mulungu wa ds mara paaapNenda muce ndg, pale kwanza pako shwari hata mazingira yake, and kwa upande wa hiyo course pia ni nzuri sana,
Jiandae kukutana na kina dr.kita
Dr.mbepera
Dr.mulungu
Na wengineo.
Kila la kheri ktk BSc.ed