angedizzle
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 590
- 506
PoaAombe tu UDSM hizo kozi za viumbe atapata
PoaAombe tu UDSM hizo kozi za viumbe atapata
Mericine[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hujui maana ya kuwa ADMITTED??
Wewe umekuwa selected!
Nenda MUCE, kuna upungufu wa walimu wa sayansi!
Ila PCB kwa nini hukuomba angalau mambo ya mericine??
Acha mambo ya kitoto mkuu bhana kwan kila PCB lazima asome MD ujui kama mambo yamebadirika nnKama ni PCB kwanini hakuchukua Doctor of medicine Udom or MUHAS?!