Nimekuwa admitted vyuo vinne niende wapi?

Mkuu huu kama sio ujinga ni nini haya huyu hapa amepata vyuo zaidi ya kimoja bora hata ingekuwa viwili vinne?

Halafu course zote kama zinafanana hivi

Upande wa pili kuna mti kakosa nafasi na ana sifa sasa maana ya huu mfumo wa kipumbavu ni nn
Kwa kweli ni hatari naona dalili ya Fourth round itakuwepo maana bado multiple selection zitajitokeza tena
 
Hilo nilikuwa nalifahamu

Umeniongezea maarifa asanteh...

Ajira zake ni kama zipi? Kujiajiri inawezekana kweli? ...ama ndiyo nitasubiri sana baada ya kuhitimu
Mimi sisomi hiyo course kwakweli ila weka kichwani kwamba katika suala la kujiajiri ni vizuri kujiajiri katika fani uliyosomea lakini siyo lazima!

Kuna watu wamesoma Law na wamejiajiri kwenye kilimo

Tafuta Prospectus ya UDSM soma kila kitu kinachohusiana na kozi yako, hasa kipengele cha expected learning outcomes (module objectives) za kila module then utajua ni sehemu gani utakuwa unafiti na koz yako
 
Mimi sisomi hiyo course kwakweli ila weka kichwani kwamba katika suala la kujiajiri ni vizuri kujiajiri katika fani uliyosomea lakini siyo lazima!

Kuna watu wamesoma Law na wamejiajiri kwenye kilimo

Tafuta Prospectus ya UDSM soma kila kitu kinachohusiana na kozi yako, hasa kipengele cha expected learning outcomes (module objectives) za kila module then utajua ni sehemu gani utakuwa unafiti na koz yako
THUMBUP
 
Hili ndiyo tatizo la kuwa na mfumo tofauti wa kuomba vyuo na lizipoangaliwa kwa makini linawezekana likaleta hasara maana mwanafunzi anaweza kupata mkopo zaidi ya mmoja kama hawatumii mfumo maalum na pia kukozesha wengine nafasi kumbe mtu amechaguliwa mara mbili na pia imeleta hasara kwa waombaji maana ameomba vyuo zaidi ya kimoja (application fees) Tunaomba kuwa na mfumo mmoja wa usajili kwa vyuo vyote
 
Niende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with education>st John 4.bachelor of education in science>Mwenge wadau wananiambie et special needs ni nzuri ila Nina wasiwasi kkuhusu mkopo kwasababu hiyo kozi ni non priority! ila zote mm nazipenda! niende wapi jamani na kuhusu changamoto za ajira.
Ingawa ni History;

Naomba nikuulize; Hizo Faculty ndo ulizooomba kwa kutuma maombi kwa chuo Husika kwa ridhaa yako mwenyewe...?

Ulipata Division gani...?





Lastly; Nenda Bachelor of Science with Education.
 
Mkuu hata wenye ONE tumekiona cha Moto ....ushindani mkubwa mno....

can't you imagine division 1 point 8 nimekosa....
Mmmh! One Point 8 umekosa? Kuna walakini hapo? Masomo ulipataje kwenye hiyo PCB?

Kingine; itakuwa ulichagua Vyuo Vichache, au watu wengi mlikimbilia kuomba Vyuo the same.
 
Back
Top Bottom