siyo kila PCB lazima achukue MD....Kama ni PCB kwanini hakuchukua Doctor of medicine Udom or MUHAS?!
Scores zake zitakuwa hazifikii requirements,Kama ni PCB kwanini hakuchukua Doctor of medicine Udom or MUHAS?!
asante mkuuScores zake zitakuwa hazifikii requirements,
Sio mbaya akianzia BSc.With Edu, achague Kemia au Biology, atafanya Master's of choice in future!
Akifanya hizo nyingine atalazimika kufanya Master's kwenye ualimu, ambapo hadi sasa sina kumbukumbu kama kuna viwango vya mshahara wa Master's kwenye Ualimu.
Vyuo vyote MD unahitaji higher scores.siyo kila PCB lazima achukue MD....
Hahahaha mi nimetemwa MD pote...k
kabsa mkuu
Hujui maana ya kuwa ADMITTED??Niende wapi? naombeni ushauri. nimechaguliwa vyuo vinne nmesoma science PCB 1.bachelor of education in special needs>UDOM 2.bachelor of education in science>MUCE 3.bachelor of science with education>st John 4.bachelor of education in science>Mwenge wadau wananiambie et special needs ni nzuri ila Nina wasiwasi kkuhusu mkopo kwasababu hiyo kozi ni non priority! ila zote mm nazipenda! niende wapi jamani na kuhusu changamoto za ajira.
Sio kila PCB anaweza kwenda MDNamshangaa
Aliyesoma art asome bachelor of education nawe usome hiyo
Aisee ungenishirikisha ningekuambia omba pale DIT
plan B ilikuwa education
kabisaaSio kila PCB anaweza kwenda MD
Umesoma qualifications za saizi?
Unajua kuna PCB wangapi wanataka hiyo MD?
Unajua capacity iliyokuwepo?
Kiufupi course capacity ilishushwa sana hivyo competition ikawa kubwa, yaani kama huna ONE ukaomba MD ingekula kwako kwa sababu science wengi wanalazimishwa kusoma education hasa ya kemia.
Ukiangalia waliokosa admission first round asilimia kubwa ni science ambao hawakuomba education, yaani waliomba afya and the like.
uhuhuhhuh sema ulpenda MD bt system ndo imektengaaak
kabsa mkuu