Nimekutana nae tena binti aliyenisaliti

Nimekutana nae tena binti aliyenisaliti

Hivi ndo mi kumbe ni kibungo ndo maana mademu wananikimbia hahahahaha maisha haya !!!!
 
Hapo pa haukuwa handsome nimepaelewa but hapo pa wewe kuwa strong nadhani ndo fact in issue kwa hii scenario.!Congrats
 
Mkuu alirudi wakati mbaya, alinikuta nimekwisha kuwa mtu mzima na nilikwishamtwisha moyo wangu binti mwingine. Haikunisumbua kumueleza hali halisi

Mkuu vipi sasa hvi ni shem wetu nini au ilikuwaje baada ya kurudi tena online?
 
Back
Top Bottom