Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

Hebu taja hiyo hotel nikafanye uchunguzu asubuhi hii hii kisha nije na mrejesho... Kama huweki hadharani niPM... Hatutaki chai hapa
 
Jamani mwenye matokeo ya kura za main I jumbo LA muhambwe anijuze tafadhali
 
Hao wanawake wa ajabu mnawatoa wapi, mbona mimi naopoa wanawake wengi tu mitandaoni na hawana shida. Pole sana.

Kama ulitimiza shida yako haina shida acha aende. Ila utakua ulilewa tu umesahau kila kitu.
 
Kwa wale waliozoea kuvaa vigauni vya hasarahasara wana kazi ya ziada leo...
Kuna mdada/m-mama jana ilibidi ataafute kanga kwenye handbag maana kila hatua mbili upepo unafanya yake.
 
Hebu cheki tv mida hii inawezekana Yuko kwenye Mkutano Mkuu wa Chadema au Yuko Lumumba anamsindikiza Magufuli.
 
Pole, umenasa kwenye mtego ambao kutoka kwake wahitaji neema. Sijui jini hilo litakufanya nini?
 
Habari zenu wakuu,

Usiku wa kuamkia leo sitakaa niusahau katika maisha yangu,yaani tarehe 2/8/2015 saa 5:40 usiku katika hotel moja Mwanza ambayo naihifadhi jina kwa sababu za kibiashara,ni siku nyingi sana yapata miezi miwili nyuma nilikuwa nachat na mrembo mmoja humu jamvini,nahifadhi ID yake.

Kwa kweli kama ni urembo Mungu alimjalia si mchezo,nikamtumia nauli akawa amekuja jana kutoka Dar,nilifurahi sana kumuona nikamchukua hadi katika hotel ambayo nilikuwa tayari nime book,kipato changu ni cha kuunga na super glue,ila nilikuwa na pesa ya kutosha maana nilibahatika kupata pesa nyingi hivi karibuni katika mazingira ya ajabu.

Nikiwa na mrembo wangu katika hotel lobby nikinywa bia na yeye Redbull tu alidai hatumii kilevi,ilipofika saa 5:40 nikamwambia tukalale,tulifanya mapenzi kama kawaida tukasinzia,nimekuja kushtuka saa 11 alfajiri hayupo kitandani,chooni hayupo,mlango wa chumba umefungwa,walinzi na wahudumu hawakumuona akitoka,hakuiba chochote,katoweka na mkoba wake tu hajaacha alama yoyote.

Kwa kweli nimechanganyikiwa

Unakibamia kapata mshefa humohumo kahama chumba!
 
Back
Top Bottom