Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

Hebu jiangalie vizuri, hajakufira kweli huyo?
 
Dah mkuu embu weka Id yake hapa tuijue ili yasimkute na mwingine ...kumbe kuna majini humu
 
Matokeo huwezi kuyaona kwa sasa inabidi umgeukie mungu otherwise lazima atakurudia. Mapepo no mabaya sana. Jipange yawezekana ndoa umeshafunga nae tayari.
 
Haaaaaaaah haaaaaah huuuh..! Jf huwa sometimes nina me stress yangu but nkisoma post za watu i regain my strengh na ku smile..!
 
Habari zenu wakuu,

Usiku wa kuamkia leo sitakaa niusahau katika maisha yangu,yaani tarehe 2/8/2015 saa 5:40 usiku katika hotel moja Mwanza ambayo naihifadhi jina kwa sababu za kibiashara,ni siku nyingi sana yapata miezi miwili nyuma nilikuwa nachat na mrembo mmoja humu jamvini,nahifadhi ID yake.

Kwa kweli kama ni urembo Mungu alimjalia si mchezo,nikamtumia nauli akawa amekuja jana kutoka Dar,nilifurahi sana kumuona nikamchukua hadi katika hotel ambayo nilikuwa tayari nime book,kipato changu ni cha kuunga na super glue,ila nilikuwa na pesa ya kutosha maana nilibahatika kupata pesa nyingi hivi karibuni katika mazingira ya ajabu.

Nikiwa na mrembo wangu katika hotel lobby nikinywa bia na yeye Redbull tu alidai hatumii kilevi,ilipofika saa 5:40 nikamwambia tukalale,tulifanya mapenzi kama kawaida tukasinzia,nimekuja kushtuka saa 11 alfajiri hayupo kitandani,chooni hayupo,mlango wa chumba umefungwa,walinzi na wahudumu hawakumuona akitoka,hakuiba chochote,katoweka na mkoba wake tu hajaacha alama yoyote.

Kwa kweli nimechanganyikiwa

Pole sana kaka jitahidi uwe una sali
 
OMG! sasa unasubiri nini ndugu? Alikupa address yake.. dar anaishi wapi? Anajishughulisha na nini? Nashawishika kukuambia uligegeda jini mwana... hahaaa

Swali ni jee lilikuwa taamuu?

Pole lakini
 
Habari zenu wakuu,

Usiku wa kuamkia leo sitakaa niusahau katika maisha yangu,yaani tarehe 2/8/2015 saa 5:40 usiku katika hotel moja Mwanza ambayo naihifadhi jina kwa sababu za kibiashara,ni siku nyingi sana yapata miezi miwili nyuma nilikuwa nachat na mrembo mmoja.

Kwa kweli kama ni urembo Mungu alimjalia si mchezo,nikamtumia nauli akawa amekuja jana kutoka Dar,nilifurahi sana kumuona nikamchukua hadi katika hotel ambayo nilikuwa tayari nime book,kipato changu ni cha kuunga na super glue,ila nilikuwa na pesa ya kutosha maana nilibahatika kupata pesa nyingi hivi karibuni katika mazingira ya ajabu.

Nikiwa na mrembo wangu katika hotel lobby nikinywa bia na yeye Redbull tu alidai hatumii kilevi,ilipofika saa 5:40 nikamwambia tukalale,tulifanya mapenzi kama kawaida tukasinzia,nimekuja kushtuka saa 11 alfajiri hayupo kitandani,chooni hayupo,mlango wa chumba umefungwa,walinzi na wahudumu hawakumuona akitoka,hakuiba chochote,katoweka na mkoba wake tu hajaacha alama yoyote.

Kwa kweli nimechanganyikiwa

pole iyo ni moja kati yachangamoto inayowakuta wazinzi kama next tyme utaliwa kiboga

by
wanga pesa
 
Toka nje usiku saa8 ukiwa uchi. uwashe udi mmoja huku unatafuna karangaa za kukaangaa utamuona huyo mwanamke..ni jini kurusumu bint Mohammed ndiio ana tabia ya kufanya mapenz na mtu na kutoweka pia akitweka huyo mtu hawez kumaliza miez miwil hajafaa
 
Back
Top Bottom