Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

unasumbuliwa na ujinga wa kupenda mteremko..acha..utakuja kukucost
 
Kaka hyo ishakula kwako. Lazima hilo jini likusumbue sana. Nenda kwenye maombi fasta
 
It was a dream, akiamka ataomba radhi mukilala simu muzizime, usiku mwema
 
Mbona huelelweki mara hutaki kuitaja jina la hotel mwisho wake umeishia kuitaja...
Mnapotungaga hadith zenu jaribu kukumbuka.
 
Habari zenu wakuu,

Usiku wa kuamkia leo sitakaa niusahau katika maisha yangu,yaani tarehe 2/8/2015 saa 5:40 usiku katika hotel moja Mwanza ambayo naihifadhi jina kwa sababu za kibiashara,ni siku nyingi sana yapata miezi miwili nyuma nilikuwa nachat na mrembo mmoja humu jamvini,nahifadhi ID yake.

Kwa kweli kama ni urembo Mungu alimjalia si mchezo,nikamtumia nauli akawa amekuja jana kutoka Dar,nilifurahi sana kumuona nikamchukua hadi katika hotel ambayo nilikuwa tayari nime book,kipato changu ni cha kuunga na super glue,ila nilikuwa na pesa ya kutosha maana nilibahatika kupata pesa nyingi hivi karibuni katika mazingira ya ajabu.

Nikiwa na mrembo wangu katika hotel lobby nikinywa bia na yeye Redbull tu alidai hatumii kilevi,ilipofika saa 5:40 nikamwambia tukalale,tulifanya mapenzi kama kawaida tukasinzia,nimekuja kushtuka saa 11 alfajiri hayupo kitandani,chooni hayupo,mlango wa chumba umefungwa,walinzi na wahudumu hawakumuona akitoka,hakuiba chochote,katoweka na mkoba wake tu hajaacha alama yoyote.

Kwa kweli nimechanganyikiwa

Erick,
Hizo nI hadisi za kufurhisha baraza tu hakuna kitu kama hicho! kama kingelikuwa kitu hicho kimekutokea basis we we mwenyewe Bahati uliyopata ungelikuwa either umemwona Mungu au ungelikuwa umemjua Shetani name himaya same!
 
It was a dream, akiamka ataomba radhi mukilala simu muzizime, usiku mwema

thank you mwanakwetu for the good suggestion to Erick BC most likely he was on a dream. supringly enough he does not narrate us of his commotion with the house keeper of the hotel on a watering the bedsheets BC he says according go him.... tulifanya mapenzi kawaida!
 
Back
Top Bottom