Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

Nimekutana na mwanamke, kanitoroka

Una kipaji utafika mbali kazana! na Shigongo alianza hivi hivi!
 
ngoja ni google nitapata ukweli wote wa story yako! nisipo ipata najua ya kutunga!
 
Huyo kachukua nyota yako hutoki teeena sio kila mwanamke wakulala nae wengine majini tu oh
 
Mkuu mr Eric, kama hii story hujatunga mkuu hebu ni PM na mimi huyo mwanaJF nikutane naye, nawahitaji sana viumbe wa aina hiyo!
 
Last edited by a moderator:
Mwanza mjini nani kapita kura za maoni kote CCM Na UKAWA ?
 
Una uhakika haukutia nia jimbo au kata yeyote mkuu, maana kura za maoni hizi
 
Back
Top Bottom