Nimekutana na Mama Mkapa ana majeraha mengi

Nimekutana na Mama Mkapa ana majeraha mengi

Kuna watu hapa wanataka kushusha heshma ya JF!! Haya mambo ya mama mkapa yanatuhusu nini? kwa nini hukumuuliza hilo swali? Umbeya mtupu ndio unawasumbua. Mnaanzisha topiki za ki.pum.bav.u Kabisa.

Ahh. Mada nzuri sana.

Yule ni mama yetu wa Taifa mstaafu. Hivi unafikiri majeraha yake ni kitu kidogo. Huo ndio umaarufu. isije ikawa kakumbana na majambazi njiani. Jeraha la mama ni Issue. Tena ya KITAIFA KABISA KWA SABABU NI MAMA WA TAIFA

kumbuka hii " Every load has its weight"

Mwandishi endeleea kutupasha. Go go go go go. LIKE
 
huu ni umbea hayo maswali yako kamuuliza mume wake au umeambiwa yupo humu JF.
 
Anna ana majeraha kwa vile amejeruhiwa!
 
Ndugu mtoa mada pamoja na wachangiaji wengine twende taratibu jamani! tusitumie vibaya fursa hii,tutumie nafasi hii kuelimishana,kupeana ushauri,n.k.Mke wa Rais mstaafu ni Mtu mkubwa! tuweni na heshima basi eeh! kwani wewe ni mara ya kwanza kuona watu wenye majeraha? Halafu hata kama ana majeraha wewe anakuhusu nini? badala ya kuhangaikia maisha yako wewe unahangaika na mambo yasikuhusu, WATANZANIA TUTAFIKA KWELI?.

Mtu mkubwa my foot. Hizi ndo tabia za woga zinazotakiwa kuondoka kwenye fikra za watanzania. Watu wote tu sawa, regardless ya cheo chako.Comment yangu imejikita kwenye hii quote tu "Mke wa Rais mstaafu ni Mtu mkubwa"
 
khabari ni kuwa wakiwa safarini, mama Mk mwenye tatizo la mguu, aliteleza kwenye ngazi na kuanguka na bodyguard wake akashindwa kumuwahi, (nchi za wwenzetu huo ndio ungekua mwisho wa career kwa huyo bodyguard) na safari imebidi ikatishwe.
 
Leo katika pita pita zangu mjini pale Exim Tower pembeni ya Wizara ya Mambo ya Ndani nimemuona mke wa Raisi wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akiwa na majeraha makubwa mno usoni. Sijui kimempata nini mama yetu huyu!
Cc...mr
 
Ndugu mtoa mada pamoja na wachangiaji wengine twende taratibu jamani! tusitumie vibaya fursa hii,tutumie nafasi hii kuelimishana,kupeana ushauri,n.k.Mke wa Rais mstaafu ni Mtu mkubwa! tuweni na heshima basi eeh! kwani wewe ni mara ya kwanza kuona watu wenye majeraha? Halafu hata kama ana majeraha wewe anakuhusu nini? badala ya kuhangaikia maisha yako wewe unahangaika na mambo yasikuhusu, WATANZANIA TUTAFIKA KWELI?.

Hii ni Specialization ndg. Ww umespecialize kwenye yako , yeye ka specialialize ktk maisha ya wengine. Mbona mnapenda ubinafsi hivi jameni? Ina maana madokta wajitibu wao tu, sie huku hamna? Ha ha ha ha just joking my dear.
 
Alianguka kwenye ngazi za st Gasper huko DOM. alikosea step kwenye ngazi
 
Leo katika pita pita zangu mjini pale Exim Tower pembeni ya Wizara ya Mambo ya Ndani nimemuona mke wa Raisi wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akiwa na majeraha makubwa mno usoni. Sijui kimempata nini mama yetu huyu!
Kunradhi ila naomba nikuulize hivi wewe ni dume au......?
 
ungemuuliza kulikoni. angupa majibu halafu ungekuja hapa kuleta full story. sasa unatuuliza sisi wakati wewe ndo umemuona.
 
Yaani imekuwajee? Huna cha kufanya mpaka unaanza kufwatilia maisha ya watu na kuanza kuuliza upuuzi wako ulitegemea ujibiwe nn labda humu na nani akujibu?Acha upuuzi fanya yko utachelewa sana kufanya yk ya msingi
 
Ndugu mtoa mada pamoja na wachangiaji wengine twende taratibu jamani! tusitumie vibaya fursa hii,tutumie nafasi hii kuelimishana,kupeana ushauri,n.k.Mke wa Rais mstaafu ni Mtu mkubwa! tuweni na heshima basi eeh! kwani wewe ni mara ya kwanza kuona watu wenye majeraha? Halafu hata kama ana majeraha wewe anakuhusu nini? badala ya kuhangaikia maisha yako wewe unahangaika na mambo yasikuhusu, WATANZANIA TUTAFIKA KWELI?.

Sasa mkuu unachangia mtoa mada anakuhusu nini?
 
Umemuona karbu na wizara ya mambo ya ndani?kaenda kuripoti tukio
 
Back
Top Bottom