ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,280
- 1,127
Leo katika pita pita zangu mjini pale Exim Tower pembeni ya Wizara ya Mambo ya Ndani nimemuona mke wa Raisi wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akiwa na majeraha makubwa mno usoni. Sijui kimempata nini mama yetu huyu!