Nimekutana na Mama Mkapa ana majeraha mengi

Nimekutana na Mama Mkapa ana majeraha mengi

kwenda zako huko na busara zako za kong'ota....
yule alikua mke wa raisi kwahiyo bado ni public figure ...jamii kujua habari zake si kosa.

unaposema amemsaidiaje au aende kumuuliza...unafikiri unaweza kumsogelea tu kirahisi kama mnavyosogeleana pale ubungo na ukabaki salama??

kama hujui kilichoulizwa...kukaa kimya bila kuchangia nayo ni sehem ya kurahisisha kupata jibu maana post za utumbo zinakua chache au hazipo kabisa.

Wewe hiyo uliyotumia ndio busara au matope? unafikiri kunishambulia kwa maneno makali ndio kunakusaidia nini?komaa acha kuwa na element za kiprimary.

Kuna sehemu nimesema kitu kinachohusiana na sehemu niliyoweka alama nyekundu kwenye comment yangu?
 
Nasikia sina ushahidi kuwa ananyumba huko Rau moshi huwa haikaliki na mtu, sasa sijui alijichanganya akalala humo.?
 
Huyu mama hana makuu huwa nakutana nae mlimani city kapanga foleni kama Raia wengine. .nampenda sana ana

Ben Mkapa ndio anaweza kusema hilo mkuu. she must be a pain in the arse may be she got a lesson. would not be first time though.
 
Ndugu mtoa mada pamoja na wachangiaji wengine twende taratibu jamani! tusitumie vibaya fursa hii,tutumie nafasi hii kuelimishana,kupeana ushauri,n.k.Mke wa Rais mstaafu ni Mtu mkubwa! tuweni na heshima basi eeh! kwani wewe ni mara ya kwanza kuona watu wenye majeraha? Halafu hata kama ana majeraha wewe anakuhusu nini? badala ya kuhangaikia maisha yako wewe unahangaika na mambo yasikuhusu, WATANZANIA TUTAFIKA KWELI?.
Sio kwa msuto huu
 
Mkuu huna habari kuwa tumeshafika?
 
Binafsi sijaona mantiki ya mleta mada hapa ya mtu kama huyu, kama alikuwa na shida angepaswa amsaidie kwa namna yeyote, even kumjulia hali ingekuwa njia bora zaidi ya kumjali kuliko kumteta hapa.

Pia angemjulia hali angepata taarifa zaidi ya kulichomsibu na sio kama alivyofanya hapa sijapenda hii kwasababu leo, kesho na kesho kutwa inaweza kutokea kwangu, ndugu yangu au yeyote aliyepo hapa JF au nje ya hapa sasa kwa namna hii inakuwa haipendezi.

Asante.
Busara zako zinaishi.
R.I.P
 
Njia nzuri ya kuwakatisha tamaa wanao andika taarifa za udaku ni kutochangia chochote.
 
Back
Top Bottom