Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

Wakuu habari..Jana nilipigwa na bumbuwazi baada ya kushuhudia msichana niliyekuwa nategemea awe mke wangu akinisaliti..ilikua hv
Me nipo chuo hapa dar na ninakaa geto.Huyo dem wang anasoma mkoani so akaja town kunisabahi kama wiki hivi.Tunaishi vizur huku kila siku akichezea dushe za kutosha.Jana usiku tukiwa bed kuna jamaa akapga smu wakaongea dk. kadhaa.Alipomaliza kuongea nikatoka nje kupoteza stress,niliporudi nikakuta amelala nikachukua smu yake nifanye uchunguzi.Nikaenda nayo nje nikatoa lock nikaanza kufatilia convo. watsap na jamaa..nilichokikuta nikajikuta natetemeka na kubaki mdomo wazi.Kuna videos inaonekana alikua amamtumia jamaa huyo aliyekua anaongea nae akijichua kwa vidole na mswaki pia wamekutana na wamesex,hadi akamuahid kumpa tigo.Nikafatilia kuna jamaa mwingine pia alikua anamega,nilichoka.Nilipomaliza nikarudisha smu yake nikakaa nje.Kumbe alikua anaona mchezo mzma akaja akanifata akaniuliza vp kuna nini?nikamwambia hakuna kitu,akauliza simu yake usiku nlichukua ya nin?nikamwambia kwani ni vibaya me kuchukua simu yake!basi toka ile jana sijamwambia chochote kuhusu nlichokikuta kwenye simu na sijaonesha dalili yoyote ya kua tofauti.Anajifanya kuomba msamaha et anajua amekosea me najifanya sielewi chochote kuhusu hlo swala.Mambo mengine nimeacha ili kufupisha stor.
MNANIPA USHAURI GANI WANA MMU!
Kama anakuja ana kaa kwako hivyo unasema anachezea dushe ya kutosha.Jiulize akirudi huko inakuwaje? Lazima aendelee kuchezea dushe.We jiongeze tu dogo.
 
Sasa unataka ushauri kama mtu anatumia hadi mswaki wakati we ya kwako ya nyama?
Jamaa kasema mtoto "anachezea dushe za kutosha". Masikiniiii... kumbe mtoto yeye hahitaji makuu, mswaki tu wamtosha.
 
daaa sasa hap unatak ushauriwe nini mkuu anyway we muulize kati yako wewe na hyo jamaa yake nani ni mchepuko wake
 
Watu kama ninyi ni wa ovyo kabisa, we hiyo simu inakuhusu? Umefata nini sasa, kwanza mchumba/mke/mme unatakiwa ukae nae benet. Mambo ya kukaa mbali ili iweje? Unadhani una macho wewe tu? Au ndio mambo ya kazi (kutafta mwenye kazi). You did a kamikaze attempt!

Vuna tu ulichotaka, mademu Dar wamejaa kibao we unatafta wa mbali


Dah hivi ni serious? I guess am joking, confused?
 
Namna hii hata mungu hatonilaumu nisipo owa jirani

Ngoja kizazi hiki kiishe huwenda mke nikampata kwa hao wenye mimba saivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa Jirani nguvu nguvu za Ku**** sizitakuwa zimeisha??
 
Kuna mambo ya kuomba ushauri sio hilo mkuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Now days, sijui kama kuna mtu hagegedewi yaani, Kuchepuka imekuwa kama fashion. ..daa Mungu atunusuru
 
nilishawahi mzingua mara kibao tuachane ila amekua mgumu anajifanya ananipenda sana na hawezi bila mm,kiuchumi kwao! wapo vizuri kiasi
Mwanamke hawezi kukulazimisha wewe kuwa nae kama kweli humataki. Labda wewe ndie unahofia kumuacha kwa hicho kigezo kuwa kwao wako vzr financial.
 
Back
Top Bottom