Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,405
Pole brother maumivu unayo na inaonekana umependa tafakari kama unafuture nae samehe huenda akabadilika[emoji3] [emoji3] you made my day..OK anyway
Pole brother maumivu unayo na inaonekana umependa tafakari kama unafuture nae samehe huenda akabadilika[emoji3] [emoji3] you made my day..OK anyway
Labda mshikaji anahisi atakuja pata zari la mentali. Yani kisa mwanamke baba'ke ana hela basi ndio niishi maisha ya kunysnyasika! Labda nimekubali kuolewa.Wee ni....
Sasa uchumi wa kwao unakuhusu nini wewe? Kwa hiyo umeolewa sio
Tatizo umbali na kuweza kuishi bila wew huyo kubadilika itakuwa ngumu mkuumm niko nae hui zaidi ya mwaka wa nne na kubadilika kaanza baada ya kwenda chuo,kwahyo mm ndye mmilik halali
Haha jamaa imebakia kidogo aolewe hapo maana sasa kama ni demu tu je akiwa mke!Labda mshikaji anahisi atakuja pata zari la mentali. Yani kisa mwanamke baba'ke ana hela basi ndio niishi maisha ya kunysnyasika! Labda nimekubali kuolewa.
Kwa waliosoma lugha ya kiarabu kuna somo linaitwa "Balagha" ndani ya balagha kuna kitu kinaitwa "thauriya"Bro sorry nami naomba ushauri Kidogo, Hapa mfukoni nina shilingi elfu ishirini na saba ni hela zangu Hizi alafu nina njaa balaa maana tangu ninywe chai kavu asubuhi sijala hadi Saa Hizi. Sasa Nipo mjini huku naona Kuna vibanda vya chips na mahoteli kibao, naomba ushauri Wako bro nifanyeje asee, njaa inauma hasa yaani
Mkuu nae kaoneshq uungwana kwa mwengne angetembea kwa miguu na hiyo night angelala standHaha sina moyo huo.aseeh
Asipoelewa basi bwanaKwa waliosoma lugha ya kiarabu kuna somo linaitwa "Balagha" ndani ya balagha kuna kitu kinaitwa "thauriya"
Thauriya ni hali ya kueleza kitu kwa maana ya karibu wakati unakusudia maana ya mbaali,
Sasa sijui atakuelewa ulichomshauri hapo..!!
n'gombe hazeeki maini jiraniii ,ntakuwa nakula mzigo tu kama kawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa Jirani nguvu nguvu za Ku**** sizitakuwa zimeisha??