donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Umenikumbusha njia ya kwenda Kibo Hotel na Njia ya Kinapa Kwa Mtu mmoja anaitwa Blue Band sijui bado yupo?
duh umenikumbusha Home Man hadi mate yamejaa mdomoni....wachaga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
mie kweli napapenda ila utaratibu wao wa kuchinja kizamani huwa siufagilii kwakweli yaani nyama inakanyagwa na miguu utafikiri ni sakafu?? kwann wasitundike juu khaaa!!!!!!!!!!!!
kunywa machicha na nyama ya kuchoma?
Ebana eeeh mkuu kumbe unakusoma?
hivi mpaka ulewe si lazima unywe nyingi sana?jamani umenikumbusha enzi hizo niko shule naenda kutibiwa marangu hospital nikitoka lazima ninywe mbege ndo nirudi shule
Nakumiss MSOGA........
![]()
hivi mpaka ulewe si lazima unywe nyingi sana?
jamani umenikumbusha enzi hizo niko shule naenda kutibiwa marangu hospital nikitoka lazima ninywe mbege ndo nirudi shule