Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

Brod darlin imetokea leo unatakiwa ukasome nje au wifi anatakiwa akasome nje, what are you going to do?
Awe mtu mke, akiwa mke nitavumilia kwa muda atakaokuwa/nitakaokuwa masomoni. Kwa mke wangu wala sina shida, nitavumilia.
Akiwa hawara tu, wiki moja-mbili baada ya kwenda masomoni nitampa green light ili asipoteze fursa, regardless nampenda kiasi gani.
 
Hahahaha nimekupata vyema.
 
Yaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!Sio robot. Ngoja nijilalie mie.

Nawatakia usiku mwema.
Pole rafiki tuko wengi in same situation
 
Yaani hii kitu ni ngumu sana aisee[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Na wewe umemmiss hapo ulipo? Hela si kakutumia tu jana, maana hicho ndo cha muhimu kwako, unamiss nini tena teh teh
Hahahaaaa!! Nilikuwa nakuongelea wewe, mie hayo mambo nimewaachia watoto nimeamua kufunga ndoa na bank.
 
Hahaha unafunga ndoa na bonus (sio kwa huo msonyo). Me paulo ninaye ndani 24/7 najisevia tu[emoji85] [emoji85]
 
Ndio hivyo mwaya nilipewa ushauri humu eti niolewe na bank, so ukisikia tu bank anatafuta mke nistue, mmmmh na vile vingreza si utakuwa unaumwa kichwa kila wakati[emoji134]
 
Teh me huwa naitikia tu yes, no, I don't know, afu vitu vingine tunaongea tu kwa lugha ya macho teh teh. Kila la kheri mrs bank
 
Nitakuja kwaajili ya ingilishi kozi, maana kingreza jamani kimegoma kupendana na midomo yangu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Teh nenda tu kwa Ras Simba, kwa bae wangu hapana. Usije ukaanza kutafuta ushirikiano nayo teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom