Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,442
Mie ushikiriano na vingreza wapi na wapi, alafu huna adabu.Teh nenda tu kwa Ras Simba, kwa bae wangu hapana. Usije ukaanza kutafuta ushirikiano nayo teh
Mie ushikiriano na vingreza wapi na wapi, alafu huna adabu.Teh nenda tu kwa Ras Simba, kwa bae wangu hapana. Usije ukaanza kutafuta ushirikiano nayo teh
Adabu ninayo A+. Ka vipi nenda kalewe, nasikia ukilewa ngeli inateleza tu afu kunywa kabisa mlenda[emoji12] [emoji12]Mie ushikiriano na vingreza wapi na wapi, alafu huna adabu.
Mmmh mie na pombe wapi na wapi!! Nisijeishia kuvua nguo bureee na kutukana kijaluo badala ya kingrezaAdabu ninayo A+. Ka vipi nenda kalewe, nasikia ukilewa ngeli inateleza tu afu kunywa kabisa mlenda[emoji12] [emoji12]
Hahaha si unataka kuflow kama paulo. Ila sikupatii picha eti umelewa teh teh ntakufwaa for youMmmh mie na pombe wapi na wapi!! Nisijeishia kuvua nguo bureee na kutukana kijaluo badala ya kingreza
Yaani we acha tu, hapana aisee!!Hahaha si unataka kuflow kama paulo. Ila sikupatii picha eti umelewa teh teh ntakufwaa for you
Maji ya motodawa gani nimezee
Meza piriton ulale mapema!dawa gani nimezee
Bora ni utani! lini ukaona njia ndefu ikakosa kona na vituo vya kupumzika, angalau kuchimba dawa?Yaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!Sio robot. Ngoja nijilalie mie.
Nawatakia usiku mwema.
Bora ni utani! lini ukaona njia ndefu ikakosa kona na vituo vya kupumzika, angalau kuchimba dawa?
khaa Mwanamutapa njoo uone huku huu ushauri,pia na Nifah
kwa hiyo nikionja hivyo sitahangaika
Tatizo ni akili ya Binadamu. Tunajidai sana kupoteza unyama wetu kwa sababu ya uwezo wa kufikiri. Lakini amini kwamba miili ya unyama iko pale pale. Ukiona kuku anafuatwa na majogoo wengi siyo umalaya, ni unyama wake. Au jogoo mmoja anafuata majike mengi siyo umalaya ni unyama wake.Khaaaaaa,kumbe hii thread ni yako Dinazarde?
Sikujua hili.
Ila kaa ukijua hauko peke yako mama, tupo wengi tu tunavumilia maisha yanaenda.
Naweza kuyaona maumivu yako,inaumiza sana kwakweli.
Ngoja nikuache na hii picha,iwe kwa ajili yako na wale wote waliopo katika long distance relationship
Khaaaaaa,kumbe hii thread ni yako Dinazarde?
Sikujua hili.
Ila kaa ukijua hauko peke yako mama, tupo wengi tu tunavumilia maisha yanaenda.
Naweza kuyaona maumivu yako,inaumiza sana kwakweli.
Ngoja nikuache na hii picha,iwe kwa ajili yako na wale wote waliopo katika long distance relationship
Tatizo ni akili ya Binadamu. Tunajidai sana kupoteza unyama wetu kwa sababu ya uwezo wa kufikiri. Lakini amini kwamba miili ya unyama iko pale pale. Ukiona kuku anafuatwa na majogoo wengi siyo umalaya, ni unyama wake. Au jogoo mmoja anafuata majike mengi siyo umalaya ni unyama wake.
Angalia binadamu sasa, eti mwili unakusukuma wewe unasubiri aliyeko mbali ili ujiridhishe kwamba ni mstaarabu Heeeee! shauri yenu! mimi hapana! Ni papo kwa papo!
Mwone mshana jr kuna bidhaa anaziuza kwasasa zitakupunguzia hamu.ananijali sana but Kuna muda namuhitaji ndio hivyo yupo mbali ,labda unipe kauzoefu
Hilo swali ukimuuliza mshana atakupa jibu murua hasaaa na size na designs tofauti ujue.unahis zinaweza fanya kazi kama ilivyo yake niliyemmiss,pia sijamiss hicho Tu vingi tu