Nimekumbuka maneno ya mwalimu wangu

Nimekumbuka maneno ya mwalimu wangu

Wakati nipo chuo nasoma shahada ya utawala niliwai kumwomba lecturer wa somo ruhusa ili niudhurie ugeni toka Dsm,mama yule alinijibu "Unapoteza muda CCm hawawezi kukupa chochote hivyo vyeo unavyoviona wanapatiana wao kwa wao ninyi watoto wa maskini mnadanganywa na kutumiwa"


Leo ndio nimeamini alichokuwa akisema ni sahihi.
Ukitaka kukielewa chama cha Mbogamboga utaitaji zaidi ya miaka 1000 [emoji40]
 
Wakati nipo chuo nasoma shahada ya utawala niliwai kumwomba lecturer wa somo ruhusa ili niudhurie ugeni toka Dsm,mama yule alinijibu "Unapoteza muda CCm hawawezi kukupa chochote hivyo vyeo unavyoviona wanapatiana wao kwa wao ninyi watoto wa maskini mnadanganywa na kutumiwa"


Leo ndio nimeamini alichokuwa akisema ni sahihi.
Miaka yote hiyo ndio unaamini leo..anza na shina kwanza..tatizo hujui mbinu za CCM..wana CCM wapo ata wanaojifanya ni vyama vingine ila wakati wa kura wanafanya kazi yao..CCM watu ni wengi mpaka upate shavu historia ya familia yenu na TANU/CCM ikubebe au upambane kinoma
...
 
Waliopata uteuzi hawajawai japo sema Ccm oye lakini pia wanavinasaba na viongozi waliopita,waliopo na watumishi serikalini.
 
Limeondolewa likawekwa jingine
Hapana kwa hili nakupinga, mie mwenyewe ccm damu ila siwazi vyeo ,utakufa bulee kwa presha
Relax,endelea kuhamasisha,ukiona hwana tyme na wewe kuna mawili aidha hauna nyota hapo ulipo au bado muda wako,so pambana,tengeneza jina
 
Sio kweli. Subiri zamu yako ikifika utateuliwa. Cha msingi endelea kupigania chama
 
Mi nikajua wale walimu wa s/msingi [emoji2]
 
Mwenyekiti alisema mavyeo ni mengi sana, usikate tamaa, zamu yako inakuja.
 
Walimu gani? Nafasi zimetoka za walimu???
 
Nipe fursa kaka
Usijali. 2020 gombea ubunge kwa ticket ya CCM hata ukishindwa kwenye kura za maoni jina lako litakuwa lishaonekana kwa mwenyekiti wa chama. Tahadhari, usitoe hata senti kwenye kinyang'anyiro hicho maana ya Mungu mengi..
 
Tulia kijana, Pambana na hali yako,la sivyo utapata shida sana
 
Sidhani kama itawezekana japo kura ya maoni,mahali nilipo kuna makundi,mpaka sasa naandika kuna watu wameandaliwa.Pia utaratibu umebadilika kura ya maoni wanapitishwa wagombea watatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom