Nimekula NYAMA YA MBWA

Nimekula NYAMA YA MBWA

Mi nakushauri kama ushakula hiyo kitu basi endelea kuitumia coz maji ya baridi yanaogofya kabla hujajimwagia mgongoni,ukishajimwagia tu,kuendelea ni easy tu.
 
-Ilikuwa ni kwa ajili ya mishikaki, supu ya kuuzaNa Haruni SanchawaUKISTAJABU ya Musa utaona ya firauni, hali hiyo iliwatokea wakazi wa Ubungo Kibangu pale mkazi mmoja aliyetajwa kwa jina la Rajabu aliponaswa na wananchi akimchuna mbwa.
Baada ya Rajabu kufumwa akifanya kitendo hicho Jumamosi ya wiki iliyopita, alipewa kibano na wananchi wenye hasira kali akakiri kwamba mbwa huyo alikuwa akimuandaa ili akamuuzee kama mishikaki na supu kwa wateja wake.
Shuhuda wetu aliliambia gazeti hili kuwa baada ya wananchi kumtilia shaka anapopata nyama ya kuuza kutokana na hali yake ya kiuchumi kuwa duni, waliunda kikosi kazi cha kumchunguza ndipo arobaini yake ikatimia.
Mtoa habari huyo alisema baada ya wananchi kuchukizwa na kitendo hicho waliamua kumfikisha kijana huyo Kituo cha Polisi cha Kibangu.
“Kijana huyo alipohojiwa na polisi alikiri kufanya biashara hiyo kwa muda mrefu,” kilisema chanzo chetu.
Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, ACP Charles Kenyela alisema kuwa taarifa juu ya tukio hilo hajazipata na akaahidi kuzifuatilia na kusisitiza kuwa kama ni kweli kijana huyo alifanya kitendo hicho atachukuliwa hatua za kisheria.​
View attachment 55463 View attachment 55464 View attachment 55465

Pole mkuu Bujibuji, si unamuona na huyu jamaa alikuwa anaandaa kitoweo kwa ajili ya watu kama wewe, bofya hapa ujionee.[/QUOTE]
 
Bujibuji mbwa ni intermidiate host wa minyoo tena minyoo wakali(strong & harzadious), cha msingi uji deworm as frequently as posible.
 
achape viroba nasikia vinakatakata minyoo fasta
Bujibuji mbwa ni intermidiate host wa minyoo tena minyoo wakali(strong & harzadious), cha msingi uji deworm as frequently as posible.
 
Niliwahi kumsikia kijana mmoja hapa Dar anasema anaishi kwa kufanya chochote, lakini pia mimi naamini chakula cha kwangu tu!! nchi imeshalaniwa hii...imagine watu wanalisha wenzao mbwa!!!
 
Nyama ni nyama tu, hamna shida yeyote.Asia nyama ya mbwa mbona ni delicacy.Na kabla hujajua mbona uli-enjoy?
Leo kwenye hangaika zangu za kutwa nzima nikaamua nirudi nyumbani.
Mama watoto hakutaka nitoke hivyo basi akaniambia mechi ya Brazil Vs Mexico niiangalizie nyumbani.
Nikakaa nyumbani nikiangalia mechi mwenyewe kama jini Njabagumu.
Katikati ya mpira nikaona siinjoi chochote, nikaaga kuwa naenda kununua vocha dukani.
Nikaingia taratibi baa ya jirani, nikaagiza Serengeti moja baridi sana, nikaipiga fasta kama mwanariadha aliyetoka kumaliza marathon akutanapo na jagi la maji. Haikunitosha niaagiza ya pili, kabla haijaja mara ghafla mama watoto akapiga simu "vp darling mbona unakawia?" ndio lililokua swali lake, nikamjibu niko na mwenyekiti wa mtaa tuna mazungumzo.
Nikaagiza mbuzi, daima huwa napenda jembe (wataalam wa mbuzi wanaelewa ninachokiongea). Baada ya nusu saa ikawa mezani.
Nikapiga kama vipande kumi, nikaagiza Serengeti nyingine ya baridi.
Nikiwa katikati ya zoezi la pombe nyama, mara wakaingia Polisi wakiwa na sare zao na kuelekea jikoni.
Huko wakawaweka chini ya ulinzi watumishi wote na kufanya msako mkali. Jikoni vimekamatwa vichwa viwili vya mbwa na ngozi mbili.
Na t ayari mie nsha kula huyu kiumbe mlinzi jamani.
KUlia nataka, kucheka nataka, najitapisha sitapiki.
Kuweni makini wenzangu, yasije kuwakuta yaliyonikuta.
 
Mmh, unatania au?!, eh!, pole, sidhani kama ina tatizo bhana, waulize Wahehe na Waphilipino

mwaJ!iyo kitu mi nishakulaga sana iringa though bila mimi kujua!nilisoma mkwawa,kuna kina mama wanauzaga mbogamboga,msimu wa ulanzi nyama inakuwa nyingi sana sh 100 unajaziwa bakuli zima!kumbe wakati wa ulanzi mbwa huwa wanakunywa ukiwa umeanikwa wakati wa kutengenezwa,hivyo mbwa wengi hulewa na kugongwa sana na magari hivyo nyama ya mbwa inakuwa nyingi mtaani!

sasa mbwa wa kugongwa tu barabarani watamu vile itakuwa hao wa china ambayo ni mbegu ya kuliwa kabisa?mi nikifika china palepale airport naagiza gouruchuan!

Pole sana mkuu, maana sioni neno linalofaa kulisema zaidi ya pole. Hicho kiubaridi cha pua yake tu kinatosha kunikera.
 
mwaJ!iyo kitu mi nishakulaga sana iringa though bila mimi kujua!nilisoma mkwawa,kuna kina mama wanauzaga mbogamboga,msimu wa ulanzi nyama inakuwa nyingi sana sh 100 unajaziwa bakuli zima!kumbe wakati wa ulanzi mbwa huwa wanakunywa ukiwa umeanikwa wakati wa kutengenezwa,hivyo mbwa wengi hulewa na kugongwa sana na magari hivyo nyama ya mbwa inakuwa nyingi mtaani!

sasa mbwa wa kugongwa tu barabarani watamu vile itakuwa hao wa china ambayo ni mbegu ya kuliwa kabisa?mi nikifika china palepale airport naagiza gouruchuan!

Hapo kwenye nyekundu, ulanzi unaanikwaje?
 
Je mkeo umemjulisha hilo zahama? Atacheka sana na huenda akakwambia ukome kumdanganya.
 
wakuu tena niwaongezee habari nyingine,kwa wanaosafiri kwenda mbeya,iringa pale mikumi ukila nyama kama umewahi kuagiza nyama ukaambiwa ya mbuzi andika umeshawahi kula nyani!mi mwenyewe nishawahi kula nyani pale,watamu,wamewekewa spice kama nyama spice ya dinah bar pale usa!

tulikula pale mpaka tukajilamba ulimi,kumuuliza mpishi hii mbuzi kweli akawa anajing'atang'ata haeleweki,nilipokubali kuwa ni nyani bahati nzuri kumbe gazeti nililonunua siku hiyo liliandika habari ya mkazi wa mikumi kakamatwa na nyama na vichwa kadhaa vya nyani!nilisoma gazeti nikiwa tayari mbeya na mbuzi-nyani yule alikuwa katulia tu tumboni!

wakazi wa mikumi njooni mthibitishe habari hii!
 
alivyo vitakasa Mungu usiviite najisi (matendo.10🙂 kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho Yesu alivyosema hivyo alitakasa vyakula vyote mana moyoni mwa mtu utoka mawazo mabaya kama wivu, uongo, chuki, fitina nk. Ivi kula nyama ya nguruwe na kuchoma nyumba ya ibada ipi zambi?.

Unatka kuniambia kuwa Biblia inapingana yenyewe kwa wenyewe ?
 
Acheni dhihaka mbona wanyalu wanakula na hawadhuliki!
Petro aliambiwa kwenye njozi Alichokiumba mola usikiite najisi
Kama haikudhuru endelea kula tuu!
 
Ngamia vile vile ni haramu lakini sijasikia mtu akituambia tusile. Hivi mnaingia kigugumizi kumwita ngamia haramu kwa vile Arabuni ni kitoeo safi na muhimu???

Nakumbuka 1998 pale Manzese aliletwa ngamia akachinjwa msikitini wacha watu wafaidi nyama. Wengi niliwasikia wakisema kula Camel ni Suna.

Leviticus 11:4
Nevertheless these shall ye not eat of them that chew the cud, or of them that divide the hoof: as the camel, because he cheweth the cud, but divideth not the hoof; he is unclean unto you.

Patamu hapo.

Quran haijakataza kula ngamia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom