Nimekula NYAMA YA MBWA

mwaj washangaa nini?...once ukionja wallah utakua mdau
watu8 wewe ni mdau wa hiyo kitu? Nikiwa hotel huwa sili nyama wala samaki bila kujua ni ya aina gani.
 
Last edited by a moderator:
ningening'inia na shingo ya muuzaji hakya nani yaan hata kaharufu ka mbuzi hukukasikia
 
watu8 wewe ni mdau wa hiyo kitu? Nikiwa hotel huwa sili nyama wala samaki bila kujua ni ya aina gani.

nimeshakula sana mishikaki yake...walioishi CHINA wanajua hili huku tunaita "gourouchuan"

P200804211318089638308402.JPG
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa umeweza kumdanganya mkeo kwanini nisishindwe kukiamini hiki kisa chako ambacho hakiingii akilini?
 
sasa mkuu uliporudi kwa mywife ulimwambiaje?
manake kutoroka hme na yaliyokukuta ni nouma
 
Na nguruwe je ? mbona Biblia inasema kuwa "Nguruwe ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao" ?

Biblia inasema hivi,

"Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu." (Mambo ya Walawi 11:07-08)
Mbona katika vifungu vingine vya maandiko vinasema kuwa "Kimtiacho mtu najisi siyo kile kiingiacho mdomoni bali kitokacho"! Hivyo ni rukhsa kuliwa.
 
hahahahahaha njiwa, nilikuwa natarajia hili jibu....
sasa msipende kuquote vitabu vye wenzenu ilhali mkijua huwa hamvitumii....(ingawa najua kwenye uzi huu sio wewe uliyequote)





BADILI TABIA hiyo walawi ni sura ya ngapi katika quran yetu sisi waislam..?! kama haipo kwenye quran then hainihusu mimi......
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa class Mkuu, by the way your Id seems familiar to me.

pamoja,my id is my real name,mc nimeongezea kwa vile mimi ni mc ktk sherehe,niko pande za arusha,hata pande za facebook natumia same id!

nawe pia id yako iko familiar mno na mimi.....natumia sana lily flowers kupambia!mimi ni mpambaji pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom