Babu natambua uwepo wako....
Naona Mkongwe mwenzio Mbu katurejesha....
Kweli tusiziache nyakati zitupite hadi tuanze kujuta kama huyu mkongwe mwenzio babu Major Dc
.....kaka we acha tu, memory card yangu ime reboot na ku scan ma faili yote kichwani mwangu bila hata kujali mida, kha!
Eti? TIMING............ hivyo eeh? Lakini Soulmate Mbu keshakwambia kuwa siku hazigandi. But honestly, kwa heshma na taadhima ya Soulmate ninaomba kutoka nje ya mada kidooooogo (Angalau kupunguza hili wimbi la huzuni lililotanda katika hii thread yake)............. Seriously is it really? kuwa a woman in love husamehe na kuzika na kusahau machungu alotendewa au ndo kama asemavyo Mbu hapo kuwa she will take you half hearted? Mie sijawahi kurudia, ndio mana nauliza .........
hahahaha hiyo Mutu klorokwini nanadhani we ndio utuambie maana mlipotea kipindi kimoja tu, hao wadau wengine tupo nao japo kwa kunusanusa...... BelindaJacob tupo naye sana kwenye idara ya movie tukiongozwa na na mkuu BAK.
Hamna kinachoharibika hapa....
Rudi tafadhali kiongozi..... Nimezikumbuka sred zako nyiiingi
Hahaha memory card zinakuwaga na makusudi mabaya! Yaani ndo maana unaweza jikuta imeirushiankwenye glass ya maji.
Tatizo la kuturn back the hands of time ni kuwa it will never be the same
Swahiba wangu Mbu,
Huyo King'asti achana naye kabisa.....we will do it our way..
Kwani umesahau kwamba "no matter what, men sink and rise together"?
cc: Asprin, Kaizer, BAK, EMT, Mtambuzi, The Boss....
Na hawa wadogo zetu wanakaribishwa kwenye kikao (with no voting rights) ili wajichotee hekima za bure...
Fixed Point, Nyamayao, Kongosho, King'asti, MwanajamiiOne, teachers gfsonwin & sonwhite..
Babu DC!!
Hahaha memory card zinakuwaga na makusudi mabaya! Yaani ndo maana unaweza jikuta imeirushiankwenye glass ya maji.
Tatizo la kuturn back the hands of time ni kuwa it will never be the same
haswaaaaaaaaaa...
Like swahiba Mbu said, if i could turn back the hand of time
Kila mmoja ana lake la kumbukumbu, ila miaka inatoka mita kuliko saa wallahi
I miss those days, so fresh, so sweet and soo beautiful
Nyamayao hujambo mama??
Mbu yaani hii ni speacial kwa MwanajamiiOne bila ubishi
Swahiba wangu Mbu,
Huyo King'asti achana naye kabisa.....we will do it our way..
Kwani umesahau kwamba "no matter what, men sink and rise together"?
cc: Asprin, Kaizer, BAK, EMT, Mtambuzi, The Boss....
Na hawa wadogo zetu wanakaribishwa kwenye kikao (with no voting rights) ili wajichotee hekima za bure...
Fixed Point, Nyamayao, Kongosho, King'asti, MwanajamiiOne, teachers gfsonwin & sonwhite..
Babu DC!!
Never be the same...in a better way...i suppose!