Kingβasti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,984
...Futari ya ndizi mzuzu, mbaazi za nazi, tambi za kukaanga, chapati kwa mchuzi wa kuku, uji wa pilipili manga na chai ya maziwa, vitumbua bila kusahau tende ππ Pumzi yako tu Best.
best nilijua tu hautonitupa.
ila umesahau kitu kimoja tuuuu. kwani prawns hazifai kufuturu jamani?:help::help:
:love: Ntakuja na ndimu na pilipili mbuzi
mpenzi si unanijua tena? afu uje na kuku nikupikie manake nimekumisi balaa. ila uje na babu Dark City ili ahakikishe hatuiongelei hii kesi manake mie nitamalizia jajimenti mkononi kama polisi wetu
................Na kweli mwaya, hebu njikalie kimya miemdogo wangu hizi zangu za kutoa makavu live hauziwezi. niachie mwenyewe. uzuri nikikunjiwa ngumi nnazo mbio za kunitosha hadi uchaguzi ujao. wewe na mwendo wako wa twiga mmm.
afu nishafukuzwa hapa, dah
Huu ubaguzi wa kumtenga mjukuu wangu mtiifu MwanajamiiOne haukubaliki hata kidogo!!
Una nini wewe na yeye??
Mi nakasirikaga mimiii!!!:help:
Huu ubaguzi wa kumtenga mjukuu wangu mtiifu MwanajamiiOne haukubaliki hata kidogo!!
Una nini wewe na yeye??
Mi nakasirikaga mimiii!!!:help:
....mnh, ili kuwaenzi waliotangulia, panabidi pawepo na angalau 1/3 ya kina mama.
Lakini, bila uwepo wa AshaDii, WomanOfSubstance, Lizzy na Freema Agyeman, hilo jopo mie sitalikubali!
Freema Agyeman πMbu upo, umepotea Kama.......
hajambo akutiae nuru moyoni na machoni?
the thread of threads........
yaani Mbu katika mabandiko yako yoote...ya mwaka huu wa 2013...hili ni bandiko la kiutu uzima
sasa ebu nambie :A S-key::A S-key::A S-key: umepata ile master?i mean master :A S-key::A S-key::A S-key: umepata?
Freema Agyeman π
....mie nipo mpz wangu, "msiba" tu huu nimeupata, waona ninavyouomboleza tu hapa...
Thanks for turning up maana....
Prawns zinafaa pia kuwemo katika kundi la futari...limau na pilipili mbuzi vyote vitakuwepo ππ Naona Mbu baada ya kufuturu kaenda msikitini au ndio kaamua kuingia mitini mitaa hii mpaka futari ishuke.
hapa ulimi nimeushikilia kwa vidole babu. worry out manake na mie niko biased.
kwanza hii kesi ni conflict of interest. manake mdogo wangu MwanajamiiOne, na rafiki yangu Mbu. taabu sana!
:ban::ban: Paw, naomba unizuie kuingia hapa kwa muda tafadhali
Hapa Soulmate ndo umeangusha dua au ndo wanuiza hahahah?