Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,146
- Thread starter
- #41
Ajali kazini mkuuAlizaliwa nao au ilikuwa ajali kazini?
Ajali kazini mkuuAlizaliwa nao au ilikuwa ajali kazini?
ChuchumaaKwa hiyo tufanyaje?
Pole mwaya 🥹Nimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu..
Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu...
Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..
Tupo advance alianza kuumwa kutokana na shule aliyosoma ilikua na mazingira ya baridi na ukizingatia yeye alikua na athma..😭😭😭
Kifo ni fumbo wakuu. 😭😭😭😭😭
Nakumbuka mara ya mwisho alilaumu sana kwanini sikuenda likizo badala yake nikabaki shule...
Mpaka anaumwa kilikua kipindi cha mitihani ya moko hivo kutoka pale shule ilikua ngumu, nilitamani kutoroka nilishindwa, nilitamani nifanye vyovyote nikamuone ...
😭😭😭😭😭😭😭
Mkuu mapenzi yana nguvu sana ujuePoor kama poor pole sana ila unaroho ngumu sana yani unajua kabisa demu anaumeme wewe bado unakula tena peku aise wewe kweli poor brain
Usiwalize wana CCM wa JF hata huyu tunasubiria ambaye anashika kiti cha CCM hatabaki mumewe kama wake wa viongoziNimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu..
Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu...
Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..
Tupo advance alianza kuumwa kutokana na shule aliyosoma ilikua na mazingira ya baridi na ukizingatia yeye alikua na athma..😭😭😭
Kifo ni fumbo wakuu. 😭😭😭😭😭
Nakumbuka mara ya mwisho alilaumu sana kwanini sikuenda likizo badala yake nikabaki shule...
Mpaka anaumwa kilikua kipindi cha mitihani ya moko hivo kutoka pale shule ilikua ngumu, nilitamani kutoroka nilishindwa, nilitamani nifanye vyovyote nikamuone ...
😭😭😭😭😭😭😭
Hio ndo i likeUjinga tupu tena akiona hamji kucomment anawatag mjazie uzi uonekane uko trending ila maujinga yamejaa..!!
AmeenKuna watu tuliwapenda zaidi ila Ardhi iliwapenda sana,, wapumzike kwa amani
Ndio mkuu issue nzima inaanzia kwa mind yakoHivyo kama ungeweka kipaumbele ungeambukizwa sio?
Na kumbe wanaoambukizwa wote waga wanaweka kipaumbele kuambukizwa..
Asante nesiPole mwaya 🥹
Asante sana numbisa....Pole
Asante sana numbisa....
Numbisa unanikumbuka lakini..?
Unanikumbuka kwa lipi mkuu ?Kwann nikusahau JF member mwenzangu