mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,184
Naam Kaka
Naam Kaka
Soma hiyoNaam Kaka
Sawa kakaSoma hiyo
Tayari nmemalizaSoma hiyo
Ndio mkuu mpaka leo namkumbuka sanaTayari nmemaliza
..Kwa hiyo ulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi
Pole Sana mkuu, inaonekana Leo kuna kitu kimeusotesha Moyo wako mpaka ukakumbuka, you still love her deeply though hayupo tena. Hongera kwa kumpendaNimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu..
Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu...
Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..
Tupo advance alianza kuumwa kutokana na shule aliyosoma ilikua na mazingira ya baridi na ukizingatia yeye alikua na athma..😭😭😭
Kifo ni fumbo wakuu. 😭😭😭😭😭
Nakumbuka mara ya mwisho alilaumu sana kwanini sikuenda likizo badala yake nikabaki shule...
Mpaka anaumwa kilikua kipindi cha mitihani ya moko hivo kutoka pale shule ilikua ngumu, nilitamani kutoroka nilishindwa, nilitamani nifanye vyovyote nikamuone ...
😭😭😭😭😭😭😭
Kwani wakiwa na likes au comments nyingi wanalipwa? Au wanajitoa ufahamu tu?Huyo ni mwendawazimu na minyuzi yake anapost kwa siku mara 10…!!
Sijui hachoki kutype? JF ina watu wa ajabu sana.!! Kutafuta attention, public sympathy, likes na comments..!! Zinawafanya wawe vichaa..!
Alizaliwa nao au ilikuwa ajali kazini?Ndio mkuu mara moja moja kondomu tena yeye alikua anafosi..
Lakini pia tulikua tunaenda sana kituo cha afya mkuu maana dada ake na mama ake ni wahudumu wa hospital flan pale mbeya..
Suala la kuambukiza kama mtu anatumia dawa proper ni ngumu sana na hiyo ndo ilikua kwangu...
Kazi yako ngumu sana, huu ni ujinga unaofanya…!!usiseme hvo kwani ujafa ujaumbika madam
Ujinga tupu tena akiona hamji kucomment anawatag mjazie uzi uonekane uko trending ila maujinga yamejaa..!!Kwani wakiwa na likes au comments nyingi wanalipwa? Au wanajitoa ufahamu tu?
Tuwakumbuke Wapendwa wetu waliotangulia kwa Sala,Dua na Maombi.Nimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu..
Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu...
Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..
Tupo advance alianza kuumwa kutokana na shule aliyosoma ilikua na mazingira ya baridi na ukizingatia yeye alikua na athma..😭😭😭
Kifo ni fumbo wakuu. 😭😭😭😭😭
Nakumbuka mara ya mwisho alilaumu sana kwanini sikuenda likizo badala yake nikabaki shule...
Mpaka anaumwa kilikua kipindi cha mitihani ya moko hivo kutoka pale shule ilikua ngumu, nilitamani kutoroka nilishindwa, nilitamani nifanye vyovyote nikamuone ...
😭😭😭😭😭😭😭
Hivyo kama ungeweka kipaumbele ungeambukizwa sio?Hapana mkuu hakuniambukiza tulikua makini..
Kingine sikuweka kipao mbele suala la yeye kuniambukiza tulikua tunapendana sana mkuu 🥺🥺🥺🥺🥺
Sikuwahi kuwaza hilo na nilisema no matter what mkuu
Daaah acha tuu mkuu yashapta lakiniPole Sana mkuu, inaonekana Leo kuna kitu kimeusotesha Moyo wako mpaka ukakumbuka, you still love her deeply though hayupo tena. Hongera kwa kumpenda
Usiseme hivo madamKazi yako ngumu sana, huu ni ujinga unaofanya…!!