Nimekukumbuka sana. Rest in peace

Nimekukumbuka sana. Rest in peace

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
27,402
Reaction score
54,845
Nimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu..

Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu...

Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..

Tupo advance alianza kuumwa kutokana na shule aliyosoma ilikua na mazingira ya baridi na ukizingatia yeye alikua na athma..😭😭😭

Kifo ni fumbo wakuu. 😭😭😭😭😭
Nakumbuka mara ya mwisho alilaumu sana kwanini sikuenda likizo badala yake nikabaki shule...

Mpaka anaumwa kilikua kipindi cha mitihani ya moko hivo kutoka pale shule ilikua ngumu, nilitamani kutoroka nilishindwa, nilitamani nifanye vyovyote nikamuone ...

😭😭😭😭😭😭😭
 
Pole Sana mkuu,japo sijaelewa hii imekaaje
 
Mlikuwa mnatumia kondom au
Ndio mkuu mara moja moja kondomu tena yeye alikua anafosi..
Lakini pia tulikua tunaenda sana kituo cha afya mkuu maana dada ake na mama ake ni wahudumu wa hospital flan pale mbeya..

Suala la kuambukiza kama mtu anatumia dawa proper ni ngumu sana na hiyo ndo ilikua kwangu...
 
Nimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu..

Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu...

Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..

Tupo advance alianza kuumwa kutokana na shule aliyosoma ilikua na mazingira ya baridi na ukizingatia yeye alikua na athma..😭😭😭

Kifo ni fumbo wakuu. 😭😭😭😭😭
Nakumbuka mara ya mwisho alilaumu sana kwanini sikuenda likizo badala yake nikabaki shule...

Mpaka anaumwa kilikua kipindi cha mitihani ya moko hivo kutoka pale shule ilikua ngumu, nilitamani kutoroka nilishindwa, nilitamani nifanye vyovyote nikamuone ...

😭😭😭😭😭😭😭
Pole mkuu
 
Huyo ni mwendawazimu na minyuzi yake anapost kwa siku mara 10…!!

Sijui hachoki kutype? JF ina watu wa ajabu sana.!! Kutafuta attention, public sympathy, likes na comments..!! Zinawafanya wawe vichaa..!
usiseme hvo kwani ujafa ujaumbika madam
 
Back
Top Bottom