Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

Alikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.
Mkuu umeongea ukweli mtupu. Yaani mtu alianza na kusema mama aondoke wamwage oili waingie kwenye uchaguzi. Aliogopa kuongelea mabaya ga Magufuli akitegemea mama akiondoka atapata cheo. Huyu jamaa angekuwa anaipenda nchi angesema siri zote bila kuogopa na kuisema CCM haifai leo hii angekumbukwa. Lakini tamaa ndogo aliyokuwa nayo ya uongozi ndio iliyomfanya ashindwe kufanya hayo maamuzi.
 
Ila tarehe 29, 30 walimuheshimisha. Hata kama alikuwa kashatangulia, ila walimuenzi. Lazma alikuwa proud. Ila sasa to think of it, kumuondoa Polepole imewasaidia nini?
Imewasaidia kuweza kuishi bila Bugdha , Now siunaona wanaishi bila ya wasiwasi wowote na pia kama haujui katika medani za kisiasa kumuondoa mtu Huwa ni sehemu ya Onyo/ kuwatia hofu watu wengine wasije kufanya kama alifanya Aliye tangulia ( Pole pole)

So watu watazidi kuwa waoga sana na ukombozi ndio utazidi kukosekana
 
Uzi unatia hasira wapumbavu wanamuulizia mtu ambaye alianza kuukataa mfumo wa kipumbavu unao kandamiza watanganyika

Hata kama hakutumia mbinu nzuri lakini alionesha kutaka kuleta mabadiliko Fulani.

Nimeamini watanganyika wengi ni manyumbu wanawahi kusahau. After all the battles he started Kuna watu wamesahau kabisa na kumwona mjinga.

Kuna siku Abdul atawapaka vilainishi awatindue mitalo ndipo akili zitawarejea

Pumbavu zenu
 
Daaah mkuu acha tu,kusema kweli sisi Raia wa Nchi hii ndio tatizo kubwa kuliko hata hao CCM na viongozi wao,si ajabu jeshi,mahakama, bunge vyote vimetutelekeza

UKWELI MCHUNGU.....hili Taifa tatizo lake kubwa kabisa si KATIBA,VIONGOZI MAFISADI, WASIOJULIKANA,POLISI WAONEVU,JESHI LISILOJITAMBUA,MAHAKAMA NA BUNGE DHAIFU.....ni sisi Wanachi tusiojitambua wala kujielewa.........

Nina uhakika wa asilimia nyingi sana ,kuna wqtu kibao tu humu wanaona wale wote waliouliwa Oktoba 29 kwenye maandamano ni MAFALA na WAJINGA waliostahili yaliyowapata,ila tu wqnashindwa kuandika hivyo humu sababu ya UNAFIKI wao

Inaumiza sana ila haina budi kukubaliana na ukweli huu,kwamba
unaishi ndani ya jamii ya namna hii
 
Vichwani sijui wamejaza ugolo?
 
Ukishaamini Mungu anakulinda, unaweza kufanya ujinga wowote.
Ujinga ule ule wa babu zake enzi za “Maji Maji” kuwa risasi za wazungu zingegeuka maji hivyo wasingekufa!
Lakini kwa Pole pole kama wamemuua, Mzee Butiku atabeba huo msalaba mpaka atakapoingia kuburini. Butiku kwa kumuuza Humphrey kwa vipande vya fedha toka kwa Samia , amesaliti ukombozi wa nchi!
 
Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!

Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!

Nakuombea huko ulipo tukuone tena.

AMINA
Huyo alipewa kichwa na wananchi akavimba, mwisho wa siku wananchi kimyaaaaa, hakuna wa kumsaidia Tena wameshamsahau na kumsahau, ama kweli shukrani ya punda ni mateke.

Hapo lissu atoe mfano unahangaika na wananchi ambao hawana msaada na wewe mwisho wa siku unauwawa bila ya kukutetea, hata tuu Kwa kuandamana, unaozea jela bila ya kukutetea hata Kwa kuandamana
 
Watu waliandamana kuanzia Oct 29, wakauawa 10,000.
Kwa hizo damu zilizomwagika unasemaje Watanzania walikaa kimyaa?
 
Sasa alikuwa Cuba gani huyu jamaa?

Amechemka sana, hata hawa wanaojiita TFF kwa kuamini VPN nawahurumia sana, watamalizwa kimyakimya tena hawa wala hawahitaji kesi.
Alikuwa highly overated for nothing. Once a cop, you stay a cop to your last day into the grave. Death penalty is the price all traitors pay to their deeds
 
Mwana harakati akiwa nje ya nchi, watakuambia mnadanganywa na mtu yupo nje ya nchi, kwanini asije Tanzania... Polepole alipokuja nchini watu wanasema "Alikuwa mjinga na mpumbavu, kwa yote aliyokuwa anasema halafu yupo Tanzania"

Kwa kweli nashindwa kuwaelewa Watanzania...
Tanzania alikuwa anaonekana au alikuwa mafichoni mpaka walivyomtrack na kumbaini alipo?

Hivi hizi VPN ndio zinawadanganya?
 
Alikiri makosa na aliomba radhi kwa umma.
Umesema vizuri sana. Humphrey alitenda matendo mabaya sana hasa kushiriki kuanzisha huu ushetani unaoendelea Sasa.
Lakini alijitambua akakiri na kuuangukia umma kuomba radhi Kisha akaanza kutupatia za ndani.
Hata Sasa pengine harakati zinazoendelea Zina ka sehemu ka mchango wake wa habari alizotusanua.
Kama wamemuua basi wamesha fanya dhambi iliyo kuu kwa sheria za nchi yetu, na kwenye hili bi Msumi Hana PA kukwepea. Ataondoka kwenye kiti na ipo siku atakaa atakaye futa hiyo sheria ya kutoshitakiwa kwa makosa ya Aina hìi na kitamlamba
 
Hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakuongolea kitu kipya nje ya yaliyokuwa kwenye habari.
Yule alitetea ugali wake tu,hakuwa na jipya..alitakiwa akiri maovu yote kuanzia walivyo ua upinzani kwa kununua wabunge wa upinzani..na kuiba kwa kiwango kikubwa uchaguzi wa mitaa mwaka 2019 na ule uchaguzi mkuu mwaka 2020..

serikali ya sasa inaiga tu yale ya alofanya magu.
 
Hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakuongolea kitu kipya nje ya yaliyokuwa kwenye habari.
Yule alitetea ugali wake tu,hakuwa na jipya..alitakiwa akiri maovu yote kuanzia walivyo ua upinzani kwa kununua wabunge wa upinzani..na kuiba kwa kiwango kikubwa uchaguzi wa mitaa mwaka 2019 na ule uchaguzi mkuu mwaka 2020..

serikali ya sasa inaiga tu yale ya alofanya magu chini ya polepole akiwa mshauri mkuu wala hakukemea,alijua atabaki pale siku zote.
 
Inasikitisha sana mwanadiplomasia kupotezwa na hakuna anayehoji kuanzia Serikali aliyoitumikia mpaka chama chake
haya mambo yanachezwa kitaalamu sana.

tatizo sisi wananchi tupo kwenye kushangilia kisa machngu tuliyonayo.

rejea, tulivyokua tunaicheka serikali/rais kwamba kamvua ubalozi mtu alijejiuzulu --- tukasahau kua ni rasmi polepole kashakua raia wa kawaida
 
Back
Top Bottom