Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,093
- 2,602
Polepole ni mkunduguAlikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.
Polepole ni mkunduguAlikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.

Naunga mkono hojaSasa alikuwa Cuba gani huyu jamaa?
Amechemka sana, hata hawa wanaojiita TFF kwa kuamini VPN nawahurumia sana, watamalizwa kimyakimya tena hawa wala hawahitaji kesi.
kumuheshimisha kwa kukubali kuingizwa chaka?Ila tarehe 29, 30 walimuheshimisha. Hata kama alikuwa kashatangulia, ila walimuenzi. Lazma alikuwa proud. Ila sasa to think of it, kumuondoa Polepole imewasaidia nini?
wewe ndo nyumbu kwa kushindwa kumuelewa polepole mkuu,Uzi unatia hasira wapumbavu wanamuulizia mtu ambaye alianza kuukataa mfumo wa kipumbavu unao kandamiza watanganyika
Hata kama hakutumia mbinu nzuri lakini alionesha kutaka kuleta mabadiliko Fulani.
Nimeamini watanganyika wengi ni manyumbu wanawahi kusahau. After all the battles he started Kuna watu wamesahau kabisa na kumwona mjinga.
Kuna siku Abdul atawapaka vilainishi awatindue mitalo ndipo akili zitawarejea
Pumbavu zenu
hili la butiku kuna ushahidi gani?Ujinga ule ule wa babu zake enzi za “Maji Maji” kuwa risasi za wazungu zingegeuka maji hivyo wasingekufa!
Lakini kwa Pole pole kama wamemuua, Mzee Butiku atabeba huo msalaba mpaka atakapoingia kuburini. Butiku kwa kumuuza Humphrey kwa vipande vya fedha toka kwa Samia , amesaliti ukombozi wa nchi!
oct 29 watu walitoka kwa kupewa ahadi fulani na wanojinasibu wana "za ndani" kwamba kila kitu kipo tayari kuna kundi fulani linawataka wato watu 1000 tu wao wamalize kazi. --- bila hiyo ahadi ambayo mpaka sasa waliokua wanawaaminisha watu hawajatolea ufafanuzi hiyo ahadi imeishia wapi, au mkuu wewe umeona walokua wanaeneza hiyo ahadi wametolea ufafanuzi?Watu waliandamana kuanzia Oct 29, wakauawa 10,000.
Kwa hizo damu zilizomwagika unasemaje Watanzania walikaa kimyaa?
anaomba radhi na muda huohuo anakwambia SSH akaepembeni wao ccm waendelee kama kawaida ?Alikiri makosa na aliomba radhi kwa umma.
Kabisa mkuu..amewahi kumuita lissu kibaraka wa Mabeberu hapa nchini..alikuwa ni kiongozi mjivuni sana kila anapo pata airtime.
Sijui ana ugomvi naye wa nini?Hahahaha we jamaa unapambana na mungu siku nyingi
Sema nilicho jifunza siyo kwa polepole tu,watu wengi wakiwa na madaraka huwa wanajisahau mnoo..tunaona hata huku chini halmashauri,mtu akiwa na cheo fulani anajiona kamaliza kila kitu...anaanza kukandamiza wengine. Siku akikosa cheo akili zinamrudia.mgombea wa chama cha mbowe na muakilishi mkaazi wa mabeberu hapa nchini ~ slowslow 2020
View attachment 3545944
tunajisahau sanaSema nilicho jifunza siyo kwa polepole tu,watu wengi wakiwa na madaraka huwa wanajisahau mnoo..tunaona hata huku chini halmashauri,mtu akiwa na cheo fulani anajiona kamaliza kila kitu...anaanza kukandamiza wengine. Siku akikosa cheo akili zinamrudia.
Ila jamaa ni Kama alikuwa anatafuta matatizo kwa bidiiTeam magu wengi wali vimba miili na sio akili.
movement na maamuzi yao mengi ni mepesi kwa ngazi ya uwanja wa vita.
Polepole aliuzwa, baada ya oct 4 kuzungumza kamanda Tesha, siku 2/3 baadae anavamiwa na kutekwa.Tanzania alikuwa anaonekana au alikuwa mafichoni mpaka walivyomtrack na kumbaini alipo?
Hivi hizi VPN ndio zinawadanganya?
All in all alichofanya ni upumbavu anazidiwa akili na watoto wa kike kina Maria Sarungi?Polepole aliuzwa, baada ya oct 4 kuzungumza kamanda Tesha, siku 2/3 baadae anavamiwa na kutekwa.
Isitoshe mara ya mwisho alizungumza kuhusu usaliti.
Ni kama Yuda alipvyomuuza Yesu , hakuna cha ajabu.
Mambo ni mengi, ngoja nikae kimya tu.oct 29 watu walitoka kwa kupewa ahadi fulani na wanojinasibu wana "za ndani" kwamba kila kitu kipo tayari kuna kundi fulani linawataka wato watu 1000 tu wao wamalize kazi. --- bila hiyo ahadi ambayo mpaka sasa waliokua wanawaaminisha watu hawajatolea ufafanuzi hiyo ahadi imeishia wapi, au mkuu wewe umeona walokua wanaeneza hiyo ahadi wametolea ufafanuzi?
The fact kwamba hakuwa hata na silaha ni shida kubwa...Sipambani na Mungu, kwa sababu hayupo.
Naelimisha jamii tu.
Amejitoa kafara kipumbavu sana,All in all alichofanya ni upumbavu anazidiwa akili na watoto wa kike kina Maria Sarungi?
Unafanya vipi vita kwa kushirikiana na majitu malafi kama Bashiru na Kabudi?Team magu wengi wali vimba miili na sio akili.
movement na maamuzi yao mengi ni mepesi kwa ngazi ya uwanja wa vita.
🤠🤠🤠 alijisahauUkishaamini Mungu anakulinda, unaweza kufanya ujinga wowote.