macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,418
- 61,093
Wengine pengine hamjui kwa undani ni nini kilitokea, hivyo unaona ni kama jambo lililotegemewa. Sitaki kuendelea kubishana na wewe kwa sababu sielewi uelewa wako wa kuchangunua mambo au unaweza kuwa ni mnufaika wa unyama uliofanyika. Kwamba unasema ulitegemea wangeuawa watu wengi namna ile tena kwa mtindo ule..... kunanifanya nione una kasoro kubwa.wakuu tutakubaliana kwamba ccm haifanyi vyema na watu wengi hawaitaki.
ila hamuwezi kukataa msukumo wa wanaharakati na taarifa zilizo sio sahihi --- nataka kusema kwamba taarifa zile nyingi zilikua za kilaghai. na kama hamku-anticipate kutawepo na risasi wakuu basi serikali ya ccm tulikua tiunaisingizia kwamba ni katili hapo awali.
kwa maneno waliokua watu wanasema watafanya ile okt 29 - nyi mnaona kweli ingewezekana hali kutulia bila shaba? --- ukiachana na wanaharakati wetu waliopo nje ya nchi wale wa ndani ya nchi nyi mmeona wakiandamania wapi? - kama issue ilikua mabomu ya machozi na maji ya kuwasha tu?
tuendelee kuangalia hali ilivyo --- ila kuna siku mtakuja kukiri okt 29 ilikua blunder kubwa sana kwa walioandaa na walioisupport - wote walikua na uwezo mdogo wa kufikiri
Ungeorodhesha watu waliotekwa wakati wa Nyerere, Mwinyi na Mkapa nadhani ungehalalisha zaidi unachosema. Nasema hivi kwa sababu watanzania nawajua sana kwa kukariri mambo wanayosikia na pengine hayana ukweli. Kipindi cha Nyerere kilikuwa ni kipindi cha vita baridi... kipindi cha giza kwa siasa za dunia. Hakukuwa na uwazi, uelewa wala mataifa makubwa kumulika siasa za ndani za nchi za dunia ya tatu kwa raia wake kama ilivyo sasa. Nyerer angekuwa katili na mtekaji kama unavyosema angefanya mara kumi ya Samia na hakuna mtu yoyote angeleta fyoko fyoko. Kwa hiyo unajaribu kufananisha awamu za marais wetu, ni lazima utilie maanani hali ya dunia ya wakati ule ie. siasa za vita baridi, mawasiano duni, ustaarabu wa kiwango cha chini... etcMkuu wewe unasema kweli? Naomba unitajie uchaguzi gani magu alishinda kwa asilimia 90 Kama ulivyosema?
Pia nimekuwekea hapo taarifa kuwa walioahinda kura za maoni kukkatwa haikuanzia wakati wa magu, hiyo tabia ccm wamekua miaka mingi.
Pia kusema utekaji ulianza wakati wa magu ni uongo mkubwa huu. Magu alizidisha utekaji na kuwa mkubwa lakini utekaji ulikuwepo miaka yote
sawa mkuuWengine pengine hamjui kwa undani ni nini kilitokea, hivyo unaona ni kama jambo lililotegemewa. Sitaki kuendelea kubishana na wewe kwa sababu sielewi uelewa wako wa kuchangunua mambo au unaweza kuwa ni mnufaika wa unyama uliofanyika. Kwamba unasema ulitegemea wangeuawa watu wengi namna ile tena kwa mtindo ule..... kunanifanya nione una kasoro kubwa.
Na wanakua wajinga haswa maana wanaji contradict kwa matendo yao!! Polepole aliamini Mungu ni wake alipokua upande wa wanyanyasaji na kushadadia ule ukatili wa Magufuli dhidi ya binadamu wenzie akiwemo Lissu!! Alienda mbali zaidi ya kujiona mjamaa aliyekomaa na kuamini yeye na alichopambania kukijenga ni immortal!!Ukishaamini Mungu anakulinda, unaweza kufanya ujinga wowote.
Ntafurahi sana kumuona tena, kama yupo hai, Mwenyezi Mungu azidi kumpigania 🙏🙏huu ujumbe unaumaa balaa Mungu ni wetu sote atuepushe ni hila za maadui,i believe he is a live
Watu wengi wanaoona Polepole alikuwa anatetea haki, anapinga udhalimu, hawaelewi kuwa Polepole hakuwa anatetea haki wala kupinga udhalimu.Na wanakua wajinga haswa maana wanaji contradict kwa matendo yao!! Polepole aliamini Mungu ni wake alipokua upande wa wanyanyasaji na kushadadia ule ukatili wa Magufuli dhidi ya binadamu wenzie akiwemo Lissu!! Alienda mbali zaidi ya kujiona mjamaa aliyekomaa na kuamini yeye na alichopambania kukijenga ni immortal!!
Akaamini aliyemtumikia hakua na Mungu akauawa ila yeye ana Mungu atamlinda then??
Ila waafrika tuna safari ndefu sana ya evolution katika akili zetu.
Siku moja tulisafiri pamoja naye akiwa Katibu wa itikadi na uenezi enzi za Magufuli nikabahatika kumuuliza maswali kadhaa na alinipa majibu yaliyonishangaza sana juu ya hawa watu walioamini Magufuli alikuwa masihi oengine baada ya Yesu!Watu wengi wanaoona Polepole alikuwa anatetea haki, anapinga udhalimu, hawaelewi kuwa Polepole hakuwa anatetea haki wala kupinga udhalimu.
Alikuwa anapinga Samia kuwa rais.
Maana yake Samia angeondolewa halafu akapatikana rais mwingine wa kutupeleka ki Magufuli Magufuli, wa team ya Polepole, Polepole angefurahi sana.
Ndiyo maana mpaka mwisho Polepole alikataa kutoka CCM na alikiwa anamsifia Magufuli.
Sijui kwa nini watu wengi hawalioni hili.
Mkuu,Siku moja tulisafiri pamoja naye akiwa Katibu wa itikadi na uenezi enzi za Magufuli nikabahatika kumuuliza maswali kadhaa na alinipa majibu yaliyonishangaza sana juu ya hawa watu walioamini Magufuli alikuwa masihi oengine baada ya Yesu!
Nilimuuliza huoni hii biashara yenu ya kununua wabunge wa upinzani mtanyamazisha nchi na hakutakua na wakuhoji wala kusemea wasio na sauti? Nilimuuliza kwakua nilifahamu mengi sana katika utawala wao! Alinijibu Magufuli ni mtumishi mwema wa Mungu hakuna haja ya watu kuwa na wapinzani wa kuwasemea!! Akaenda mbali na kunambia watanzania sasa wana masihi hawana haja ya kuhofu!
Nikamuuliza kama Magufuli ni masihi anapata wapi hofu ya kununua na kunyamazisha wabunge wa upinzani?
Alinijibu vile vile kwamba kwa sasa nchi haihitaji sauti kinzani.
Waswahili walisema 'mchimba kisima huingia mwenyewe' kwa asilimia kubwa Samia bado anaogelea kwenye ule ule mfumo walioasisi kina Polepole na itachukua muda sana ile legacy ya Magufuli kufutika ndani ya CCM na Serikali.
Ndo maana naunga mkono hiyo hoja yako... Polepole alitoa sauti ambayo yeye binafsi alishiriki kuhakikisha inazimika Tanzania.
Hata interview ya mwisho alopiga na jenerali ulimwengu alimkataza mambo hayo ya kumuhusisha Mungu, akaishia kucheka tuMkuu,
Mimi nilishaona tangu zamani kuwa hii habari ya Mungu ndiyo ujinga wote unaanzia hapo.
Ukishaamini uko upande wa Mungu unaweza hata kuua watu kwa jina la Mungu.
Polepole ama alikuwa mjinga sana, ama muongo sana.Hata interview ya mwisho alopiga na jenerali ulimwengu alimkataza mambo hayo ya kumuhusisha Mungu, akaishia kucheka tu
Sahihi kabisa.Watu wengi wanaoona Polepole alikuwa anatetea haki, anapinga udhalimu, hawaelewi kuwa Polepole hakuwa anatetea haki wala kupinga udhalimu.
Alikuwa anapinga Samia kuwa rais.
Maana yake Samia angeondolewa halafu akapatikana rais mwingine wa kutupeleka ki Magufuli Magufuli, wa team ya Polepole, Polepole angefurahi sana.
Ndiyo maana mpaka mwisho Polepole alikataa kutoka CCM na alikuwa anamsifia Magufuli.
Sijui kwa nini watu wengi hawalioni hili.
Hata hiyo radhi hakuomba, alipiga danadana za kisanii tu, ila kwa sababu Tanzania tuna low standards ikaonekana kaomba radhi.Sahihi kabisa.
Japo aliomba radhi kwa kushiriki kwa namna moja au nyingine kuvuruga mfumo wa uchaguzi Ili kuinufaisha Ccm.
Nadhani Polepole kawa mhanga tu wa hizi siasa za kupotezana ambazo hakuwahi kuzikemea akiwa huko Ccm.Hata hiyo radhi hakuomba, alipiga danadana za kisanii tu, ila kwa sababu Tanzania tuna low standards ikaonekana kaomba radhi.
Wanetu kuna vitu tukisema mnatuangushia zigo la lawama kwamba tunafanya uchawa, ila pale kwa polepole hapakua na kuomba radhi wala kupigania haki.Sahihi kabisa.
Japo aliomba radhi kwa kushiriki kwa namna moja au nyingine kuvuruga mfumo wa uchaguzi Ili kuinufaisha Ccm.
Nyie Pro-regime mnajaribu kutengeneza propaganda kuhalalisha kilichomkuta Polepole Ili kuusafisha huu utawala.Wanetu kuna vitu tukisema mnatuangushia zigo la lawama kwamba tunafanya uchawa, ila pale kwa polepole hapakua na kuomba radhi wala kupigania haki.
Mnalalamika ccm ni dhalimu alafu anakuja yeye anasema kuna wanamtandao wameiteka ccm, waondoke wao waendelee na nyi mnapiga makofi tu
Mkuu kiranga kakupa maelezo ya kueleweka kabisa hapo, kama umeshindwa kumuelewa sawa tuendelee tu kuona tatizo ni serikali pekeyake,Nyie Pro-regime mnajaribu kutengeneza propaganda kuhalalisha kilichomkuta Polepole Ili kuusafisha huu utawala.
Wewe Pro-regime tunajua upo hapa kuhalalisha kilichomkuta Polepole.Mkuu kiranga kakupa maelezo ya kueleweka kabisa hapo, kama umeshindwa kumuelewa sawa tuendelee tu kuona tatizo ni serikali pekeyake,
Polepole hakuwa muhanga. Polepole alikuwa mpigania fursa, alikuwa mtu aliyeshiriki kuunda mfumo huo. Hakuwa na shida na mfumo alikuwa na shida na rais Samia.Nadhani Polepole kawa mhanga tu wa hizi siasa za kupotezana ambazo hakuwahi kuzikemea akiwa huko Ccm.
Hilo la kuomba radhi inategemea na Kila mtu atakavyotafsiri ila kitendo tu cha kusema kwa umma hadharani juu ya hiyo hujuma ilikuwa ishara njema.
Hilo la server za mifumo ya uchaguzi kuunganishwa na Ccm yeye ndiye alilisemaKama hujasema specifically mimi nilifanya hili na hili na naomba radhi hujaomba radhi unatafuta public sympathy kisanii tu.
Hilo si kuomba radhi. Hajasema yeye kahusika vipi na hizo servers.Hilo la server za mifumo ya uchaguzi kuunganishwa na Ccm yeye ndiye alilisema