Nimekukomesha mshenzi wewe, bastard! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekukomesha mshenzi wewe, bastard!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, May 1, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Inawezekana ikawa kama kichekesho lakini limetokea kweli,
  mwanamke daktari amemng'oa meno yote mpenzi wake wa zamani
  baada ya kwenda kwake akitaka kutibiwa meno yalokuwa
  yakimuuma.

  Jisomee mwenyewe hapa! Dentist pulls out all of her ex-boyfriend
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,506
  Likes Received: 1,335
  Trophy Points: 280
  Ngoja nianze kibarua changu cha kuponda kokoto,kikifikia katikati nitapata break kisha nitarudi!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,736
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mh,sasa hyo ni huduma ama kukomoana?
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 69,692
  Likes Received: 3,160
  Trophy Points: 280
  huyo daktari itabidi anyang'anywe leseni yake hii sasa ni nje ya kiapo chake...........
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 69,692
  Likes Received: 3,160
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  In this unrelated photo, a patient receives dental treatment (AP/Esteban Felix)
  this is evil pure and simple..........................hakuna utetezi hapo
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  daah safi sana
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Chezea wananake....
   
 8. Kyalow

  Kyalow JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 1,603
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Smile na Madame X,mmefurahia professional misconduct!! sio vizuri
   
 9. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,903
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Huu ni unyanyasaji wa KIJINSIA Kabisa! Mpenzi wa zamani kadhulumiwa haki yake ya huduma mwafaka ya afya kwa kuangukia mikononi mwa dentist mwenye BIFF naye!

  Au ni ukiukwaji wa HAKI ZA MENO? Dunia hii haiishiwi vituko!
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,407
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mimi ningekata na huo mdomo kabisa fyekelea mbali....
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Alaaniwe mwanaume aliyekuharibu mentally na psychologically! Ashindwe kabisa huyo kidume!
   
 12. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,690
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Amefaidi nini? Inabidi hata vitandani mwetu tuanze kulala kwa tahadhari au?
   
 13. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,690
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Aisee sister inaonyesha una wivu na roho mbaya sana!!! Kufurahia binadamu mwenzio kufanywa kibogoyo kwa sababu tu ya mapenzi siyo jambo la kushabikia hata kidogo; eti kisa mwanaume?
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  duh hali tena mfupa.
   
 15. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,029
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Safi sana!
   
 16. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Mkuu meno ya bandia mdomo wote, ni mateso makubwa sana!
   
 17. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,712
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Angemngoa ili inyohifadhiwa ndani ya zipu angekuwa na akili japo kidogo.
  Mbona njemba atanunua meno ya bandia na ata-smile kama kawa tu!
   
 18. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,712
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Haijalishi mkuu, mchuzi ataonja na utambu wa nyama atausikia kama kawaida.
  Huyo dada hakumjua adui, afadhali angempiga dawa ya usiingizi halafu akamfungua zipu na kufyeka ile kitu jamaa anaringia.
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Na why umng'oe mwenzio meno kwa hasira zako?? This is not fair kabisa, atleast angekataa kumhudumia akahudumiwa na wengine!!
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Usikute huyo kidume kwenda kwake ilikuwa gia ya kumrudia kishtobe wake!
   
Loading...