boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Asante mkuu siyo rahisi piaPole sana mkuu. Hayo mateso si mchezo.
Pia nakupongeza kwa kuumbwa kiajabu kabisa na hiyo roho ya kusamehe.
Hiko ni kipaji.
Asante mkuu siyo rahisi piaPole sana mkuu. Hayo mateso si mchezo.
Pia nakupongeza kwa kuumbwa kiajabu kabisa na hiyo roho ya kusamehe.
Hiko ni kipaji.
Na ile siri alotaka kukwambia baba ako vipi ameshakwambia?Salaam, nimekuja kujua kitu kilichonitonesha kidonda changu, na kinaendelea kunitonesha. Ni kuwa nikiwa na miaka 7 au 8 hivi, mama yangu mzazi alitaka kuniua, kwa mujibu wa aliyenisimulia ni kuwa siku moja alinikaba mno shingoni ili aninyonge, baadaye roho ya huruma ikamuingia mara baada ya kuona naanza kutoa macho na kukosa nguvu, akaniacha. Anasema kuwa mama alishadhamiria kunimaliza, alishapanga.
Nakumbuka nilikuwa mtundu, ndiyo sababu kuu iliyopelekea kutaka kuuawa, haya nimeyajua nikiwa MTU mzima hivi hivi! Nimehuzunika sana!
Ila mama hajui kama nimeshajua, nafikiri alitaka iwe siri.!
Halafu ashindwe kukumbuka wakati kasema alikuwa na miaka 8?Mkuu na wewe utakuwa ulipitiliza utundu alaf tukio kama ilo unashindwaje kulikumbuka mpaka ukumbushwe na uyo aliyekukumbusha amejuaje kama ulikabwa nusu kufa kama sio mbea
Anazingua huyoHalafu ashindwe kukumbuka wakati kasema alikuwa na miaka 8?
Eight years ni mkubwa sana hauwezi kusahau ujue.
Duh nimechekaNdo utulie Sasa ufanye mambo ya maana tusije sema heri asingeachia shingo..[emoji23]
Mkuu huyu ukute unakutana nae kwenye kona anakupiga kabali halafu anaongea kiingereza..😬Duh nimecheka
Salaam, nimekuja kujua kitu kilichonitonesha kidonda changu, na kinaendelea kunitonesha. Ni kuwa nikiwa na miaka 7 au 8 hivi, mama yangu mzazi alitaka kuniua, kwa mujibu wa aliyenisimulia ni kuwa siku moja alinikaba mno shingoni ili aninyonge, baadaye roho ya huruma ikamuingia mara baada ya kuona naanza kutoa macho na kukosa nguvu, akaniacha. Anasema kuwa mama alishadhamiria kunimaliza, alishapanga.
Nakumbuka nilikuwa mtundu, ndiyo sababu kuu iliyopelekea kutaka kuuawa, haya nimeyajua nikiwa MTU mzima hivi hivi! Nimehuzunika sana!
Ila mama hajui kama nimeshajua, nafikiri alitaka iwe siri.!
Bimkubwa alizani ushabanduliwa na wahuni...😅, ila mama alikushikia kisu kwa nia safi tu ya kutaka useme ukwelli, ni alikutishia tu hakuwa na nia ya kukuchoma nachoUmenikumbusha tukio!
Mama yangu aliwahi kunishikia kisu nikiwa na miaka 7!! Nilirudi kutoka shule nikiwa natembea kwa kutanua miguu.. nilikua nimevimba nodes za kwenye mapaja, alinishika akaniingiza chumbani kwake nimwambie ukweli nimefanya nini nkimdanganya atanichinja!
Baadae aliniachia baada ya kugundua ni nodes tu ndo zimevimba..
Hivi inawezekanaje ulikua mtoto usikumbuke vitendo vya ukatili mpaka usimuliwe na mtu bakiSalaam, nimekuja kujua kitu kilichonitonesha kidonda changu, na kinaendelea kunitonesha. Ni kuwa nikiwa na miaka 7 au 8 hivi, mama yangu mzazi alitaka kuniua, kwa mujibu wa aliyenisimulia ni kuwa siku moja alinikaba mno shingoni ili aninyonge, baadaye roho ya huruma ikamuingia mara baada ya kuona naanza kutoa macho na kukosa nguvu, akaniacha. Anasema kuwa mama alishadhamiria kunimaliza, alishapanga.
Nakumbuka nilikuwa mtundu, ndiyo sababu kuu iliyopelekea kutaka kuuawa, haya nimeyajua nikiwa MTU mzima hivi hivi! Nimehuzunika sana!
Ila mama hajui kama nimeshajua, nafikiri alitaka iwe siri.!
Kuna kitu ninawasiwasi nacho aliekuambia labda ana nia ugombane na mama yako, hivi kwa ukatili wote huo aliofuanya mama yako ushindwe wewe mwenyewe kuukumbuka mpaka usimuliweSalaam, nimekuja kujua kitu kilichonitonesha kidonda changu, na kinaendelea kunitonesha. Ni kuwa nikiwa na miaka 7 au 8 hivi, mama yangu mzazi alitaka kuniua, kwa mujibu wa aliyenisimulia ni kuwa siku moja alinikaba mno shingoni ili aninyonge, baadaye roho ya huruma ikamuingia mara baada ya kuona naanza kutoa macho na kukosa nguvu, akaniacha. Anasema kuwa mama alishadhamiria kunimaliza, alishapanga.
Nakumbuka nilikuwa mtundu, ndiyo sababu kuu iliyopelekea kutaka kuuawa, haya nimeyajua nikiwa MTU mzima hivi hivi! Nimehuzunika sana!
Ila mama hajui kama nimeshajua, nafikiri alitaka iwe siri.!
Dah! Ndio kisu kweli?..Bimkubwa alizani ushabanduliwa na wahuni...😅, ila mama alikushikia kisu kwa nia safi tu ya kutaka useme ukwelli, ni alikutishia tu hakuwa na nia ya kukuchoma nacho
Huwa unawafikiliaga sana kabla ya kuandika jambo comment nyingi naona, na hongera sana, mimi nimejiuliza swali hilo hilo je ameambiwa ndiyo kastuka kuwa mama yake alitaka kumuua hiv katika hali ya utoto unashindwaje kukumbuka vitendo vya ukatili, mimi. Nimewaza pia aliemwambia anataka wakosena na mama yakeUnachonganishwa na mama yako na kwanin awe comfortable kukuambia hayo mambo